UGANDA: Kundi la wanamgambo la ADF Lawauwa watu watatu

franckkimm

JF-Expert Member
Aug 25, 2016
440
852
Msemaji wa jeshi la Uganda, UPDF, Felix Kulayigye, amesema watu watatu wameuwawa katika shambulizi linalodaiwa kufanywa na wanamgambo wa kundi la Allied Democratic Forces ADF Magharibi mwa taifa hilo.

Wanamgambo hao wanasemekana kuushambulia mji wa kamwenga jumatatu jioni na kumuua Bibi wa miaka 75 na wajukuu wake wawili kabla ya kuchoma miili hiyo.

Source//DW.com

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao IDF si na wenyewe wasema kwamba wanampigania mungu wao anayeitwa allah.😂😂
 
Back
Top Bottom