Uganda deploys troops over island row with Kenya

You are Soo Kidding your self make me laugh....if and when he decide to follow your advice he will have to contend with This.....See attachement

Wewe na akili yako matope, hivi unadhani kuna nchi ambayo haina silaha? We kweli ni bwege!
 
You are Soo Kidding your self make me laugh....if and when he decide to follow your advice he will have to contend with This.....See attachement

hellfire,

Picha zinapendeza..the same thrust to be used in the fight against njaa na umaskini mzee!

I dont have problems na Strenghtening Military Capabilities...why do wa do this and invest so much say kwa Tz which is so peaceful?

Prioritazation problems!

Ujue pia many dictators invest a lot in the army at the expence of other sectors..see cases of Mugabe, Biya n.k

JKT zamani Tz walitumika kwa vijana kujifuza kujitegemea na walizalisha sana chakula kingi!

When our countries are in peace why invest so massively in the army?

Pesa hiyo ijenge mahospitali, mashule, na mashamba yafunguliwe kwa wingi!
 
Wakuu,

Kenyan military does not consider Tanzania and Uganda(or both) as any formidable force and therefore not part of its defense strategy, Kenya military therefore looks to bigger threats like Sudan, Ethiopia and probably Somalia.

Also to note that Kenya's Military budget is twice that of Tanzania and Uganda combined...

For those who want to know what hardware Kenya, Tanzania and UG have links are here...

Kenya Military

Tanzania Military

Uganda Military
=========================================

Vickers Mk3: 76
T-72AV: 110 from Ukraine 77 in 2007 with more planned for delivery in 2008. 33 T-72's ordered from Ukraine were hijacked by Somalian pirates.[4] The MV Faina was released and the tanks unloaded in Mombasa Feb 2009. There have been doubts expressed as to whether the T-72s imported by Kenya are intended for use by the Kenyan Army. Instead, popular opinion is that they were being clandestinely imported for the southern Sudanese army, which has an arms embargo against it.[5]
Recce: 72 x Panhard AML-60/-90, 12 x Ferret armoured car and 8 x Shorland armoured car;
APC: 85 BRM Ukraine in 2007,ACV 32 ( China), 52 x Thyssen Henschel UR-416 and 1- x Panhard M-3 (in store);
SP Artillery: 25 x 203mm. PION ,35 x BM-21;
Towed Arty: 48x 122mm., 48x 105mm., Mortars: 50 x 81mm., and 12 x 120mm.,
25 x 203mm.,
ATGW: 40 x MILAN, and 14 x Swingfire;
RCL 84mm: 80 x Carl Gustav recoilless rifle;
AD Guns 20mm: 50 x TCM-20, and 11 x Oerlikon;
AD Guns 23mm : 70 x ZSU-4
AD Guns 40mm: 13 x L/70.
AD Missiles: BUK
Small arms: G3 rifle
The Air Force has[6]
7 Northrop F-5 Freedom Fighter figher aircraft. There are reports that Kenya seeks to purchase an additional 15 used F5 fighter jets from Jordan. [7]
37 helicopters (11 x Hughes 500MD Defender with TOW, 8 x Hughes 500ME Defender, and 15 x Hughes 500M Defender);
31 transport fixed wing (7 x de Havilland Canada DHC-5D Buffalo, 12 x Harbin Y-12 (II), 10 x Piper PA-31 Navajo, 3 x de Havilland Canada DHC-8 Dash 8, 1x Fokker 70 (VIP), and 6 Dornier Do 28D-2 (in store);
23 transport helicopters (9 x IAR 330 Puma, 13 x Aérospatiale SA 330 Puma, and 1 x Aérospatiale SA 342 Gazelle);
together with 34 training aircraft (12 x Scottish Aviation Bulldog 103/127, 8 x BAe Hawk Mk 52, 12 x Shorts Tucano, and 2 x helicopter Hughes 500D.
The Air Force also has Air-to-Surface Missile (ASM) AGM-65 Maverick TOW, and Air-to-Air missile(AAM) AIM-9 Sidewinder.
Kenya’s Navy has
10 x Missile Craft;
6 x Patrol and Coastal Combatants;
1 x Amphibious Craft; and 5 x Support Vessel.
The General Service Unit’s Air Wing
comprises 7 x Cessna; and
3 x Bell light helicopters.[8]

Mkenya omba usipigane ,hasa na jirani yako.
Sisi tulipigaa Uganda 1978/79 na matokeo yake ni umaskini wa miaka kadhaa.
Tunakumbuka miezi 18 ya shida ambayo ikawa miaka 18 ya shida.
 
Who is WE?.As far as i can remember the issue of where to put the money was never COLLECTIVE its a matter of doing what pleases oneself.
If you think thought putting money in defense is Upuuzi then its up to you to view it as such.To others and i believe Kenya is among the Others its an Insurance as they the best way to avoid war i prepare for one. Period

'We' me and others probably including you.

Anyway,it's worthless to argue with you.some people like you are jus born messed up.sorry,i have no time buddy!
 
Wakuu,

Kenyan military does not consider Tanzania and Uganda(or both) as any formidable force and therefore not part of its defense strategy, Kenya military therefore looks to bigger threats like Sudan, Ethiopia and probably Somalia.

Also to note that Kenya's Military budget is twice that of Tanzania and Uganda combined...

For those who want to know what hardware Kenya, Tanzania and UG have links are here...

Kenya Military

Tanzania Military

Uganda Military
=========================================

Mkenya,
You'll be stupid to argue that Kenya is militarily superior to Tanzania and probably even UG just based on the known military hardware, but you should know that, armies purchases military hardware whenever they seem to need them.

At the moment Tanzania sees no threat around her, it being Kenya, UG etc. The UG, Rwanda, Congo, Mozambique, Zambia, Comoro military etc, are all, either a result of Tanzanian training, or well known to the Tanzanian military security. Kenyan army has been dormant almost since independence. Furthermore, Tanzania is the only country in Africa that had ever gone to war and defeated her opponent.

It will be wise if Kenya and UG take their border issue to the International Court of Justice, just like how Nigeria and Cameroon solved theirs, but if Kenya think are too strong than any of her neighbors, then let her try to use force and see what is the difference between having a sitting army in the barracks with lots of rusting stockpile going against an army with years of field experience.
 
Last edited:
Hata hivyo kupigana sio sifa karne hii. Tulijiingiza kwenye vita ya kuikomboa Uganda, uchumi wetu ukaenda kombo, tukafunga mikanda, mpaka leo hatujaifungua. Kwa mawazo yangu hatujarecover kutoka madhara ya vita vile mpaka leo. Kwa hiyo wanaozungumza vita na ubabe waache mchezo huo kabisa. no more wars near our borders pls!!! Bush atakuwa ananielewa vizuri zaidi katika hili...:confused:
 
Wakuu,

Kenyan military does not consider Tanzania and Uganda(or both) as any formidable force and therefore not part of its defense strategy, Kenya military therefore looks to bigger threats like Sudan, Ethiopia and probably Somalia.

Also to note that Kenya's Military budget is twice that of Tanzania and Uganda combined...

For those who want to know what hardware Kenya, Tanzania and UG have links are here...

Kenya Military

Tanzania Military

Uganda Military
=========================================

Vickers Mk3: 76
T-72AV: 110 from Ukraine 77 in 2007 with more planned for delivery in 2008. 33 T-72's ordered from Ukraine were hijacked by Somalian pirates.[4] The MV Faina was released and the tanks unloaded in Mombasa Feb 2009. There have been doubts expressed as to whether the T-72s imported by Kenya are intended for use by the Kenyan Army. Instead, popular opinion is that they were being clandestinely imported for the southern Sudanese army, which has an arms embargo against it.[5]
Recce: 72 x Panhard AML-60/-90, 12 x Ferret armoured car and 8 x Shorland armoured car;
APC: 85 BRM Ukraine in 2007,ACV 32 ( China), 52 x Thyssen Henschel UR-416 and 1- x Panhard M-3 (in store);
SP Artillery: 25 x 203mm. PION ,35 x BM-21;
Towed Arty: 48x 122mm., 48x 105mm., Mortars: 50 x 81mm., and 12 x 120mm.,
25 x 203mm.,
ATGW: 40 x MILAN, and 14 x Swingfire;
RCL 84mm: 80 x Carl Gustav recoilless rifle;
AD Guns 20mm: 50 x TCM-20, and 11 x Oerlikon;
AD Guns 23mm : 70 x ZSU-4
AD Guns 40mm: 13 x L/70.
AD Missiles: BUK
Small arms: G3 rifle
The Air Force has[6]
7 Northrop F-5 Freedom Fighter figher aircraft. There are reports that Kenya seeks to purchase an additional 15 used F5 fighter jets from Jordan. [7]
37 helicopters (11 x Hughes 500MD Defender with TOW, 8 x Hughes 500ME Defender, and 15 x Hughes 500M Defender);
31 transport fixed wing (7 x de Havilland Canada DHC-5D Buffalo, 12 x Harbin Y-12 (II), 10 x Piper PA-31 Navajo, 3 x de Havilland Canada DHC-8 Dash 8, 1x Fokker 70 (VIP), and 6 Dornier Do 28D-2 (in store);
23 transport helicopters (9 x IAR 330 Puma, 13 x Aérospatiale SA 330 Puma, and 1 x Aérospatiale SA 342 Gazelle);
together with 34 training aircraft (12 x Scottish Aviation Bulldog 103/127, 8 x BAe Hawk Mk 52, 12 x Shorts Tucano, and 2 x helicopter Hughes 500D.
The Air Force also has Air-to-Surface Missile (ASM) AGM-65 Maverick TOW, and Air-to-Air missile(AAM) AIM-9 Sidewinder.
Kenya's Navy has
10 x Missile Craft;
6 x Patrol and Coastal Combatants;
1 x Amphibious Craft; and 5 x Support Vessel.
The General Service Unit's Air Wing
comprises 7 x Cessna; and
3 x Bell light helicopters.[8]

And not to forget Tanzania has the most Weapon Holdings than Kenya and Uganda

Tanzania 387,000
Uganda 286,000
Kenya 251,000
 
This is the Age of Diplomacy!!! That is the way foward.
War is not the answer. It's that simple.
 
Wakuu,

"Kenyan military does not consider Tanzania and Uganda(or both) as any formidable force and therefore not part of its defense strategy, Kenya military therefore looks to bigger threats like Sudan, Ethiopia and probably Somalia.

Also to note that Kenya's Military budget is twice that of Tanzania and Uganda combined... "

Hellfire I really respect your sense of reason but this is out of the blues mkuu !
The same stupid argument as you are making is what small minded presidents like Bush and his flawed military "thinker" Rumsfeld used to potray.
Starting a war is one of the stupidiest things on earth because he who starts war does not have the slightest idea on how to stop it.
America is the mightiest nation on earth started a war that is still being fought six year into it.And its a a war that it cannot win conclusively.Having heavy armor not withstanding.
If history teaches us anything armor alone will not win you a war,check out the Six Day War where Egyptian militar assets were destroyed in one day.
Try convincing mkuu Mkenya that committing Kenya into a war might open up the inherent divisions that will most likely be used against it.
 
Mkenya , kuwa na Bajeti kubwa haitoshi kuonyesha kuwa Nchi ina Jeshi zuri, kwani inawezekana fedha hizo zinatumika kulipana Posho na Mishahara minono , hivyo sio kigezo cha ubora.

Wingi wa silaha za wazi na haswa zile ambazo zinawekwa hadharani sio uimara wa Jeshi kwani nchi nyingine huwa wanatangaza asilimia 30 tuu ya silaha zake , ila hawasemi wanamiliki kiasi gani na za aina gani .

Ug, army ina expirience , ila Kenya wao tangu uhuru wamewahi kuingia wapi na kupambana ? UG kila siku utawasikia wapo Kongo ila KENYA wanashindwa hata kurudisha amani ya Somalia.

Vita ni mbinu , HAMASI walipambana na Israel ambalo inasemekana ni the most Sophisticated army in the World , wao HAMAS walikuwa wanatumia maroketi ya kurushwa kwa mikono na njia za kienyeji ila uliona wakiwabamiza pamoja na mivifaru yao.

The art of war is all about strategies.
 
Baadhi ya Miafrika ndvyo ilivyo!!! Hii vita ikianza makampuni ya kutengeneza silaha ya nchi za magharibi yatakuwa yanakenua tu kwa kupata soko jingine ambalo watajiingizia faida kubwa huku Waafrika wakiuana :(
 
Ni jana tulipogundua kuwa kuna njama Kenya Kuingilia Uganda Kijeshi kuokoa Kisiwa cha migingo.Leo hii Kenya inalaumu Waganda Kutowalipa kwa msaada waliowapatia wa Madawa ya Kupambana na Kifua Kikuu.Waziri wa afya Beth Mugo ameilaumu serikali ya Uganda na Kuwasihi kufuata mkataba waliohuandika wa kuwarudishia wakenya madawa yao.Je hamuoni hawa wakenya ni watu walioamini vita na kuwashurutisha majirani wao kwa kuwa utajiri wa Afrika Mashariki wao ndio wana usemi mkubwa?
 
There's an existing topic and we're merging em topics...

Thanks
 
Hamsemi ukweli hapa--------------truly Kenya has the most sophiscated Army in East Africa.Look,is the most actively country in Africa to participate in UN Peace Missions.Wengine mnasema hati Kenya imeshindwa kuingia somalia,you are kidding.
Do you remember in 1997 when a Kenyan Nun was abducted in Mogadishu?
A kenyan Airforce Fighter landed in Mogadishu and within hours the Nun was handed to them after threatening to go on war with Somalia.Just lat year some Italians were abducted in Mandera.The Kenyan military swung into action within hours and after discovering the guys have been taken deep into Somalia....they followed them.Finally the guys had to released
 
Ni jana tulipogundua kuwa kuna njama Kenya Kuingilia Uganda Kijeshi kuokoa Kisiwa cha migingo.Leo hii Kenya inalaumu Waganda Kutowalipa kwa msaada waliowapatia wa Madawa ya Kupambana na Kifua Kikuu.Waziri wa afya Beth Mugo ameilaumu serikali ya Uganda na Kuwasihi kufuata mkataba waliohuandika wa kuwarudishia wakenya madawa yao.Je hamuoni hawa wakenya ni watu walioamini vita na kuwashurutisha majirani wao kwa kuwa utajiri wa Afrika Mashariki wao ndio wana usemi mkubwa?

Let me ask you one simple question.. whose army is in the small island, is it the Kenyan army ama the Ugandan army? Dont twist facts mkubwa, Uganda has already briught its army to the island ready for any eventualities. Lakini I dont see Kibaki akitoa Kenyan soldiers Barracks, I am sure the GSU can teach the Ugandan army lessons on their own game.
 
Mkenya , kuwa na Bajeti kubwa haitoshi kuonyesha kuwa Nchi ina Jeshi zuri, kwani inawezekana fedha hizo zinatumika kulipana Posho na Mishahara minono , hivyo sio kigezo cha ubora.

Wingi wa silaha za wazi na haswa zile ambazo zinawekwa hadharani sio uimara wa Jeshi kwani nchi nyingine huwa wanatangaza asilimia 30 tuu ya silaha zake , ila hawasemi wanamiliki kiasi gani na za aina gani .

Ug, army ina expirience , ila Kenya wao tangu uhuru wamewahi kuingia wapi na kupambana ? UG kila siku utawasikia wapo Kongo ila KENYA wanashindwa hata kurudisha amani ya Somalia.

Vita ni mbinu , HAMASI walipambana na Israel ambalo inasemekana ni the most Sophisticated army in the World , wao HAMAS walikuwa wanatumia maroketi ya kurushwa kwa mikono na njia za kienyeji ila uliona wakiwabamiza pamoja na mivifaru yao.

The art of war is all about strategies.

I Will begin from where you stopped "The Art of War is all about strategies" You don't accomplish those strategies in an empty stomach,You don't send your men in the front without proper clothings,good motivation,and all that comes back to the issue of money.If you don't spend it you risk having a mutiny by your men How hard is that for you to see?.The amount of money spent per soldier in Kenya is about 4 or 5 times higher than that of Tanzania and Uganda.What that means is that a typical Kenyan soldier is properly fed,well clothed, given proper housing,well remunerated and properly Trained at the end of the day he's always spoiling for a fight.
 
Smatta you are right----The GSU Men are upto the task.You got me to remember what Kenyatta told Amin.......""Nitatumia Polisi wangu kufinya wanajeshi wako Makende""
 
Kupigana ili isaidie nini? Sii vema kwa kupigana kuondoa umaskini kwa Wananchi wetu wanaoteseka?

Budget kubwa ya jeshi..ili isaidie nini?? Kuondoa umaskini na njaa???

African countries should invest more ktk development..na sii ktk majeshi!

You said it ALL...
 
Back
Top Bottom