Huyo mchunga kondoo wa bwana amelewa mvinyo anaposema wafanyakazi. Wa serikali walipe fungu LA kumi kwa kukatwa kwenye mishahara yao , INA maana waumini ni watumishi wa umma tu?!Nabadilisha dini embu waache huo upuuzi, kwani kanisa linawalipa hao waumini? Au wauumini wote wa hilo kanisa wana kazi?
Haya majina ya cyprian sijui yana shida gani?
Huku bongo tuna cyprian msiba.
Eehhh?
Mlawi wa leo ni nani?
Hahah mkuu,majina yana bahati mbaya sana mkuu teh.Umenifanya nicheke hadi jirani zangu wananishangaa!
Aisee!Ni serikali.
Aisee!
Sasa mbona serikali inachukua zaidi ya asilimia kumi?
Sky pesa inapendwa na kila mtu, hata mimi napenda pesaWaganda wanapenda pesa sana
Si kwa kushikana mashati hivyoSky pesa inapendwa na kila mtu, hata mimi napenda pesa
Mkuu ni kweli namfahamu jamaa mmoja ana jina hilo, yule jamaa ni chenga ila anavaa vizuri sana na anamwonekano mzuri ila hapendi ufanikiwe na hatokupa taarifa muhimu za wewe kufanikiwa. Hayo majina ni chenga sanaHaya majina ya cyprian sijui yana shida gani?
Huku bongo tuna cyprian msiba.
Wewe huyu cyprian Kizito Lwanga ni baba Askofu mkuu iko kwenye kamati kuu ya Vatican inayo changua Mtakatifu papa...... usimlinganishe na Popo la CCM. Ambalo ni empty pumpkinHaya majina ya cyprian sijui yana shida gani?
Huku bongo tuna cyprian msiba.
Hahah aisee itabd na wengine watupe experience zao kutokana na jina hilo maana mpk hapa umesha confirm nilichokua nakifiria mkuu,hahahMkuu ni kweli namfahamu jamaa mmoja ana jina hilo, yule jamaa ni chenga ila anavaa vizuri sana na anamwonekano mzuri ila hapendi ufanikiwe na hatokupa taarifa muhimu za wewe kufanikiwa. Hayo majina ni chenga sana
Wewe achana na cheo chake,mimi naongelea jina la cyprian.Wewe huyu cyprian Kizito Lwanga ni baba Askofu mkuu iko kwenye kamati kuu ya Vatican inayo changua Mtakatifu papa...... usimlinganishe na Popo la CCM. Ambalo ni empty pumpkin
Huku 15% ya HESLB huku 10% ya kanisani,watatumaliza.Kutoa sadaka imekua lazima eeh. Wakaongee na viongozi waiwekw kama makato rasmi sasa. Ila na dini tutabadilisha kwa hali hiyo
Umeongea pointViongizi wa dini wafanye kazi za kuwaingizia kipato waache uvivu, huduma za kanisani malipo yake mbinguni.
Huu siyo mvinyo tena ni lile Jani la Tarime...Huyo mchunga kondoo wa bwana amelewa mvinyo anaposema wafanyakazi. Wa serikali walipe fungu LA kumi kwa kukatwa kwenye mishahara yao , INA maana waumini ni watumishi wa umma tu?!