P Pejokiss JF-Expert Member Joined Aug 21, 2011 Posts 248 Reaction score 187 Jul 17, 2013 #21 Duh huo ugali wa enzi gani?
S Son of Alaska JF-Expert Member Joined Jun 2, 2008 Posts 2,812 Reaction score 1,070 Jul 17, 2013 #22 zomba said: Huo ni msaada wa hisani ya watu wa USA, Nyerere alipotutumbukiza kwenye umaskini usio mfano, maskini wa mwisho duniani. Duhh, yule mzee, Mwenyeezi Mungu atamweka anapostahiki. Click to expand... Acha hizo,mbona huku duniani unauzwa dukani-sijui nani aliwaambia wabongo kwamba kula huu unga ni umasikini
zomba said: Huo ni msaada wa hisani ya watu wa USA, Nyerere alipotutumbukiza kwenye umaskini usio mfano, maskini wa mwisho duniani. Duhh, yule mzee, Mwenyeezi Mungu atamweka anapostahiki. Click to expand... Acha hizo,mbona huku duniani unauzwa dukani-sijui nani aliwaambia wabongo kwamba kula huu unga ni umasikini