ugali ugali ugali jaaamani

Huyu akiolewa na msukuma kila siku ata chezea vitasa!
 
kila kitu kinahitaji semina elekezi kwa kweli.
 
Hahahaha Munkari yupo busy na kusonga ugali ndo mana mahudhurio yake hapa sio mazuri teh teh
 
Last edited by a moderator:
ameshazoea jiko la kuni hilo lazima atafute style ya kipekee asonge...
 
du, hawa ndio wanao unguza nyumba za mabosi wao
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…