GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,645
- 10,867
- Thread starter
- #21
Watu walikuwa wakila na kunywa hata kabla hakujakuweko kwa katiba iliyoandikwa!Chagua moja.Kuandika katiba kwa siku saba bila kula au kula siku saba mfululizo ili uvute muda wa kuandika katiba.Choose one,leave one!
Watu walikuwa wakila na kunywa, na pengine hata na kusaza kabla Tanganyika haijapata uhuru!
Lakini kwa kuwa watu si ng'ombe ambao huridhishwa kwa kula na kunywa, walihitaji uhuru ili waweze kujitawala.
Katiba bora ya wananchi ndiyo itimizayo ile dhana ya kujitawala!