Kilichokutapisha sio mlenda, ni fikira zako.Pole sananilikula mara moja, nikatapika sijawahi kula tena
Wewe na nani mkuu.......wengine tunapenda sana......watu wa uchagani hatupendi hiyo kitu
Siku ukifilisika utaweza tu
Kilichokutapisha sio mlenda, ni fikira zako.Pole sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwa hiyo waliofilisika ndio mboga yao hii??? nitakula ugali na picha ya samaki.