Ugali Kwa Mlenda

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,249
10177457_10208642558850689_2390922359859948206_n.jpg
 
Hapo mjomba unaweza kula ndoo ya ugali peke yako bila kujijua!
 
Pamoja na kuzaliwa mjini nimekuwa nkipata shida sana kutumia mlenda na hii inatokana na asili ya wanyakyusa kutofahamu aina ya hizi mboga hasa mlenda
 
Pamoja na kuzaliwa mjini nimekuwa nkipata shida sana kutumia mlenda na hii inatokana na asili ya wanyakyusa kutofahamu aina ya hizi mboga hasa mlenda
 
Back
Top Bottom