Ugaidi wa serikali ya Marekani.

More Iraqi babies suffer birth defects caused by US weapons

A recent study shows a spiraling numbers of birth defects, ranging from congenital heart defects to brain dysfunctions and malformed limbs, among Iraqi babies as a result of weapons used by the US and UK forces.


The new findings, published in the Environmental Contamination and Toxicology bulletin, report high rates of miscarriage, toxic levels of lead and mercury contamination in the cities at the heart of the US-led military campaigns in Iraq, especially Fallujah and Basra.

link msaada

Colonel James Naughton of US Army Materiel Command said Iraqi complaints about depleted uranium (DU) shells had no medical basis.
"They want it to go away because we kicked the **** out of them," he told a Pentagon briefing. If war starts, tonnes of depleted uranium (DU) weapons are likely to be used by British and American tanks and by ground attack aircraft. link BBC NEWS | World | US to use depleted uranium
 
Waarabu wenyewe wajinga kama wana dhati ya kujikomboa kwa nini wanawekeza utajiri wao marekani na ulaya?
 
Wakuu.
Kuna hizi videos zinazokushawishi uamini US ni magaidi at the true sense of the word!

Kuna mipango mingi hufanyika nyuma ya jukwaa la siasa la kuhakikisha US anaweka bases zake katika nchi tofauti duniani.
Mbinu moja ni kuanzisha vita kwa visingizio kama vile vya Iraq na Afghanistan kwa karibuni, lakini pia kupitia intervensions kama hizi za Libya na kuwait.

Pia huwa wanapiga ofisi zao mabomu, au meli zao za kivita na halafu huwasingizia watu , nchi, au vikundi vyengine ili kuunda visingizio vya kuzivamia au kujiingiza katika nchi hizo.

Mbinu ya nipe nikupe pia hutumika. Kama kuwarubuni viongozi wa nchi ambayo US wanataka kitu hapo au kutoa misaada iliyonona na mikubwa kwa matarajio ya kuvuna zaidi siku za usoni.

Katika nchi kama Yemen waliripua meli ya kivita,(manoari) na halafu wameingia Yemen kwa kisingizio cha kuwapiga na kuwatokomeza Al-qaeda.

Tanzania na kenya wameripua balozi zao na wanatoa misaada mikubwa huku wakijitayarisha kwa shughuli zao za baadae, mafuta ya Uganda yapate urahisi wa kusafirishwa na makampuni yao yapate nafasi ya kukomba rasilimali.


MKUU NAKUWEKEA HII VIDEO ANGALIA MBINU ZA HAWA JAMAA

TerrorStorm Full length version - YouTube
 
hizi video za wachambuzi hasi juu ya ugaidi kwakweli ZINASHAWISHI.

Point niliyo note ni kkwamba, ilendege iliyo daiwa kupiga pentagon haikuonwa na raia yeyote wa marekani zaidi ya CIA, hakuna ushahidi wa picha ya mabaki ya ndege hiyo, zaidi yashimo dogo kwenye jegno hilo ambalo wachambuzi hao wanadai si lasaizi ya ndinge hiyo bali yazezekana kuwa MISSILE.

Ndege iliyo daiwa kuwa ingegonda WHITE HOUSE walidai kuidungua lakini MABAKI YAKE hayapatikana au hakuna taarifa ya kuya pata na ufanya upembuzI kwenye BLACK BOX

Makala nyingi za kupinga FREE MASON zina nasibisha 9/11 na kafara ya kishetani na ilijuliana kabla. Kwaushahidi, hebu fuatilia mtu anaitwa ARON RUSSO, na fuatilia makala moja inaitwa AMERICA FREEDOM FROM FASCISM (ya arron russo). huyu aron russo inasadikiwa alikufa kwa kansa, lakini watu wengine wana dai CIA walifanya kazi yao.
Kwa asiye amini ugaidi wa marekani aende YOU TUBE atafute video zifuatazo
  1. "THE SECRET OF CIA"
  2. "PANAMA DECEPTIONS"
  3. ZETGEIST MOVEMENT
  4. ZETGEIST ADENDUM
 
Back
Top Bottom