Ugaidi wa serikali ya Marekani.

Nonda

JF-Expert Member
Nov 30, 2010
13,358
4,304
Wakuu.
Kuna hizi videos zinazokushawishi uamini US ni magaidi at the true sense of the word!

Kuna mipango mingi hufanyika nyuma ya jukwaa la siasa la kuhakikisha US anaweka bases zake katika nchi tofauti duniani.
Mbinu moja ni kuanzisha vita kwa visingizio kama vile vya Iraq na Afghanistan kwa karibuni, lakini pia kupitia intervensions kama hizi za Libya na kuwait.

Pia huwa wanapiga ofisi zao mabomu, au meli zao za kivita na halafu huwasingizia watu , nchi, au vikundi vyengine ili kuunda visingizio vya kuzivamia au kujiingiza katika nchi hizo.

Mbinu ya nipe nikupe pia hutumika. Kama kuwarubuni viongozi wa nchi ambayo US wanataka kitu hapo au kutoa misaada iliyonona na mikubwa kwa matarajio ya kuvuna zaidi siku za usoni.

Katika nchi kama Yemen waliripua meli ya kivita,(manoari) na halafu wameingia Yemen kwa kisingizio cha kuwapiga na kuwatokomeza Al-qaeda.

Tanzania na kenya wameripua balozi zao na wanatoa misaada mikubwa huku wakijitayarisha kwa shughuli zao za baadae, mafuta ya Uganda yapate urahisi wa kusafirishwa na makampuni yao yapate nafasi ya kukomba rasilimali.




[video=google;7866929448192753501]http://video.google.com/videoplay?docid=7866929448192753501#[/video]
 
Last edited by a moderator:
[video=google;808526880666247652]http://video.google.com/videoplay?docid=808526880666247652#[/video]
 
Back
Top Bottom