P Prosefa Senior Member Joined Feb 27, 2025 Posts 157 Reaction score 247 May 1, 2025 #1 Nilijaribu kulinganisha risala za wafanyakazi wa hizi nchi mbili kwa kuangalia UBC kwa mda mfupi ayse tutachelewa mno kupafikia matarajio yetu ni uchawa na uchawi eb tune kidogo UBC ,utatapika
Nilijaribu kulinganisha risala za wafanyakazi wa hizi nchi mbili kwa kuangalia UBC kwa mda mfupi ayse tutachelewa mno kupafikia matarajio yetu ni uchawa na uchawi eb tune kidogo UBC ,utatapika