Ufuska Vyuoni

Nayeye bado anatamani ? Duh
Yupo kushoto tu Katavi,, Mpaka Ziara,,huko,, Huwa tunaongea nae,,Huwa nashangaa sana,,et anasema ,'' acha usenge,,siku moja uje huku,,huwezi kupiga Mara moja tu,,ila ,,sasa hayupo free sana ,,amebanwa na jimbo,,,
 
Masikin GPA za ngono zimekithir wengine wanaiga wengine hawatak kuwa nyuma nao wawe na majina umaarufu.... Sina iman na dem wangu nasubir tu boom lake la mwisho nijikatae
 
Tuombe tu Mungu.... Nimeumia sana hearing that 99.99% ya chuo gals wanafanya ufuska.... Kwa wanawake ambao hawajapitia chuo ndo malaika?
Tunapewa sifa ambazo aint ours...
Haya mambo yapo but kuna wengi wanajitambua sana, Mimi mpaka namaliza sijawahi kuwa na mahusiano na demu wa chuo.
 
Hata ukifanyaje utakuta una oa aliyesema so cha msingi usifikirie aliwahi kupitiwa na wangapi hapo nyuma.Tena wengine kabla ya kuolewa anakuja kupigwa miti kwa mara ya mwisho...wenyewe wanaiita kuagana.
Hii ki2 kumbe ipo kwl wng..Eti "tuagane" kuna watu mikundu kwl..na jitu linakubali kuagwa kabisa.. kirohoni nasemaga kamuage mama yako kokote alipo senge weweee!!!
 
Ulikula dadaako? Sjaewa mkuu fafanua
 
Mimi darasa la saba...ila wanachuo nilikula ni kama 11 kwa miaka 2 tu,mkopo wao ukichelewa utasika hodi hazikauki gheto eti ''Jangala una mkate kidogo unipe maana leo najisika uvivu kwenda super market.....nami sharti langu mkate wangu utaulia ndani kwangu..
 
Mtu kasoma single tena boarding paka anamaliza advanced akirudi home kwa holiday anabaniwa kapata uhuru chuoni mnachonga hahahahaha izoo zinaitwa kufidia........hakuna stage inayorukwa asee pale anakua na ujinga wote toka afikie adolescence..........labda kwa kuwasaidia tuu msije wabania watoto wenuu ili wakifika chuo visiwe vitu vipya sanaa
 
Wewe bibie acha kuwa mbishi ka mshipa, vyuo vikifunguliwa nenda Pub one Kurasin, iko opp na TIA, nenda Catalunya, Eagles, Kangaroo, Kijiji beach, Liquid. Hizo ni chache tu nimekutajia. Ikiwa wewe haufanyi, gud 4 u. Ila mimi ninawajua wauzaji wa IFM, TIA
 
Ndugu, huyu wala hata sio wa kumbembeleza akubali ulichoandika. Hawa wa namna hii ndo wale wanaojikuta mwisho wa siku keshatumbukia shimon na hakuna wa kumvuta mkono
 
Mkuu nisaidie baadhi ya namba zao
 
Huu uzi.. Nmeshindwa hata kuchangia.. Mungu atunusuru..
Nikvuta picha nliyoyaona na kuyashuhudia miaka yangu kadhaa katka ndaki moja hapa nchini aonaye sirini ndo anajua
 
jamani niliingia chuo sijui ata kutongoza mwaka wa nne baada ya kupata kipochi manyoya ikawa shida. nilikuwa natembea na wake za watu, watoto wa shule, ma housegirl, mabar maid na yoyote ntakaye kutana naye njiani mi nikutongoza alafu baadaye naita ghetto. leo nikitafakari duhhh hapana vingine ata havina hadhi lakini vitamu balaa. Nilikuwa silali mwenyewe siku 3 lazima ning'oe. wazazi kama mpo huku msiwanyime watoto wenu uhuru kama mimi ndo umeniadhiri yyoyote nabeba nitakaye okota. sina mpango wa kuacha sasa napata nyapu kwa mara ya kwanza na age 26 hapana kumbe nyapu ni tamu ivi bora ningeijua mapema. nashukuru kwa kwenda chuo aisehhh
 
mie ndio maana sikwenda chuo chochote sitaki ujinga mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…