Mwana va Mutwa
JF-Expert Member
- Jun 9, 2009
- 459
- 53
mwalimu aneiba chaki za shule kwenda kufundishia tiusheni,
nesi anaeiba sindano kuzitumia nyumbani kwake kutibu wagonjwa nyumbani kwa malipo,
secretary[katibu muhtasi]anaeiba stationery za ofisi akazitumia kwa matumizi binafsi,
bosi anaeondoka ofisini muda wa kazi na kufanya shughuli zake binafsi,
dereva anaetumia gari la ofisi kwa matumizi yake binafsi,
mwanafunzi anaetumia mbinu zisizo halali kufaulu mtihani,
dereva wa daladala anaekatisha njia,
mfanyakazi aliyeacha kazi yake nakuja humu jf kujibu ktk muda wa kazi
nk, hawa si mafisadi?