Ufunuo wa anguko la uharibifu

Hivi kweli kabisa tumekosa weledi kiasi cha kutowawajibisha wahariri na waandishi kama hawa?
 
Ushindwe na ulegee kwa jina la kristo yesu

Nakuona unamtangaza lucifer kwa nguvu zote. Ushindwe kwa jina la yesu
Alegee vipi,hio ni elimu kubwa huwezi elewa,labda km umesoma elimu ya universe,elimu ni pana.
 
Kinabii damu zilizomwagwa na watu wasiojulikana ni laana Kwa taifa yahitajika toba ya msamaha ili roho zilizozulumiwa ziende kwa amani, maana zitalipa kisasi kwa chain yote iliyohusika.Kwa uelewa zaidi soma Kuhusu universe (laws of nature).
 
Viongozi wetu wanaijua hii tafakuri?
 
Nimembuka ajali ya MV Bukoba ilivyua wengi wasio na hatia enzi ya utawala wa BM..
 
Huyo Lucifer hata asiposemwa atakuwepo tu maadam Mungu yupo.
Ni kitu gani unachoweza kusema kipo kimoja?
Mungu - Shetani
Mchana - Usiku
East - West, etc
Kila iambo ni pande mbil...;

Mwanaume - Mwanamke,
Uzima - Mauti
Pepo - kuzimu
Kufaulu - kufeli
Utajiri - Umasikini
........
[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…