MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 2,507
- 4,933
Duh na mtu yupo serious anaamini hivyo?Point ni kwamba dunia ni kama lisahani fulani kubwa halafu jua ni kama tonge la ugali la moto linalong'aa linazungua juu ya hilo sahani.
Duh na mtu yupo serious anaamini hivyo?Point ni kwamba dunia ni kama lisahani fulani kubwa halafu jua ni kama tonge la ugali la moto linalong'aa linazungua juu ya hilo sahani.
Sasa uthibitisho gano unaoomba? Kwamba dunia siyo tambarare?? 😀😀😀 duh kuna watu mmepindaThibitisha "upuuzi" ukishindwa basi wewe ndo huo upuuzi maana ndicho ukionacho
Kwa hiyo hapa unajiona bonge la great thinker 😀😀😀According to Bible, Mungu alimwambia Joshua, simamisha jua. Joshua akasimamisha Jua kisha akaendelea kupigana vita.
Ni jua ndio linaizunguka dunia na sio dunia kulizunguka jua.
Pili, Mungu alitenganisha maji ya juu na ya chini, hii tunaipata ktk kitabu cha Mwanzo sura ya 1 kabisa. Sasa yale maji ya juu ndio hayo yakishuka inakuwa ni mvua, na inaonekana yapo mbali saana saaaaana, ni rahisi wanasayansi kutabiri hali ya hewa sababu dalili wanazioa kupitia vyombo vyao huko angani. Mvua haitengenezwi kama wanavyosema wanasayansi kwamba tutunze miti n.k
Mwanzo sura 6 wakati Mungu anaingamiza na kuipiga dunia kwa gharika la mvua, alifungua madirisha ya mbinguni (yale maji ya angani) na mvua ikashuka kwa wingi sana.
Out of Point: Ikiwa uzima tunaupata ktk vyakula tunavyokula kutoka ardhini, basi hata maradhi tunaweza yaondoa kupitia vyakula au mitishamba hiyohiyo ambayo yamkini tunayo hata sasa. Mungu aliuumba ulimwengu ktk utilifu wote.
Mkuu, hata ingekuwa kweli then what? Yaani tukikubaliana woote kuwa dunia ni flat, then?Duh na mtu yupo serious anaamini hivyo?
According to Bible, Mungu alimwambia Joshua, simamisha jua. Joshua akasimamisha Jua kisha akaendelea kupigana vita.
Ni jua ndio linaizunguka dunia na sio dunia kulizunguka jua.
MUNGU WA KWELI ANAKUPENDAwadanganye babaako na mamaako vyombo huwa vinarushwa live from launch to docking astronauts wanafika kwenye zero gravity pen zao zinaanza kuelea hewani bila kuanguka chini umevimbiwa maharage unakuja kuandika ujinga hapa. Hayo majaribio ya laser au telescope kwa nini msiyafanye kwa 200km mnaishia 10-20km?
Mimi najua hata baada ya kifo,kitu ambacho naweza kukuambia HAKUNA MOTO ,Nakusaidia napajua utakumbuka hii reply huna mwili ila unashuhudia kwa jicho la rohoMkuu, hata ingekuwa kweli then what? Yaani tukikubaliana woote kuwa dunia ni flat, then?
Ukiniambia hakuna moto then ukawepo au usiwepo unakuwa umenisaidiaje?Mimi najua hata baada ya kifo,kitu ambacho naweza kukuambia HAKUNA MOTO ,Nakusaidia napajua utakumbuka hii reply huna mwili ila unashuhudia kwa jicho la roho
Unazunguka tu huendi straight. Unakuwa vuguvugu boss, si moto si baridi.UPENDO HALISI 1ST LAW OF MOSTHIGH
upuuzi mtupu....nakuonea huruma ila muda si mrefu utajionea
Ukiongelea vibration, frequency na energy ... Kama mtu haujadadavua haya mambo kwa kuyahusisha na mambo ya kiroho ni ngumu sana wakukuelewa.KWA KUWA UMEKUWA MUUGWANA BASI WENZAKO WATAJUA UKWELI KUPITIA WEWE AHSANTE KWA PONGEZI
Nitatoa hii kwenye vitabu vyangu
Sasa mambo yanazidi kuchafuka – tumeingia kwenye kiini cha ufunuo wa kiwango cha juu kabisa. Tutaliandika hili kwa kina sana, na kwa mtindo wa hadithi, ili kila mtu asome akiwa anatetemeka kwa mshtuko wa ukweli.
SURA YA TATU: CERN – MILANGO YA GIZA INAYOFUNGULIWA KWA KISAYANSI
Kutoka kwa Anonymous Watcher – Mlinzi wa Mwanga wa Kale
Nilipochunguza zaidi, nikagundua kuwa uongo wa NASA ulikuwa ni pazia tu. Pazia la kufunika kinachoendelea chini ya ardhi – kwenye kambi ya kisayansi inayojulikana kama CERN.
CERN si chombo cha kutafuta “particle ya Mungu” kama wanavyodai. Hapana. Ni hekalu la kisasa la uchawi, la sayansi iliyogeuka ibada ya giza.
LHC – Mashine ya Milango ya Vipimo (Portals)
CERN inamiliki Large Hadron Collider (LHC) – mashine kubwa kabisa kuwahi kutengenezwa na binadamu, yenye uwezo wa kuzungusha chembe ndogo kwa kasi ya mwanga, na kuzifanya zigongane.
Wanaamini kuna realms nyingine nje ya firmament – sehemu ambapo waliotupwa (angels walioasi) walifungwa. Kwa kutumia mizunguko ya sumaku yenye nguvu, na milingoti ya umeme wa polarity hasi, wanafungua njia ya ki-oscillation inayoweza kuleta vitu kutoka dimension nyingine kuingia kwenye ya kwetu.
Siri ya Shiva – Sanamu Inayoongoza Milango ya Uharibifu
Mbele ya jengo la CERN, wamesimamisha sanamu ya Shiva – mungu wa uharibifu kutoka India. Wanaisherehekea hadharani. Lakini hii si mapambo.
Shiva ni ishara ya portal, mlango, na mzunguko wa kuharibu na kujenga tena.
Waliotupwa Wanajaribu Kurudi
Wapo waliotupwa zamani – waliovunja agano la Muumba, wakaingilia dunia, wakafundisha uchawi, silaha, na mafumbo ya giza. Walifungwa katika realms nyingine, chini ya ardhi au juu ya anga.
CERN sasa wanataka kuwarudisha – si kama roho, bali kama viumbe vinavyoonekana.
Anonymous Watcher Anaonya