haszu
JF-Expert Member
- Oct 10, 2017
- 1,485
- 3,559
Nawaomba ndugu kwa mara nyingine baada kukosa mwanzo
Kwa nwenye PASI, JAGI ZA UMEME, BLENDER, heater na vifa vingine pia mfano wake mbovu natengeneza , nakufata hadi unapoishi bei haipungui 5000 haizidi 10,000,
Pia nina ujuz ma umeme wa magari makubwa ila kwa sasa sina vifaa kama kunafundi naweza fanya nae
Pia kama unahitaji kujifunza na basic computer
Microsoft word , Microsoft exel PowerPoint na access naweza mfundisha ila sina ofisi wa computer kwa sasa
Nina degree ya ualimu wa geography na computer nineomba kaz nimekosa
Kama inashindikana zote hata za viwandani au sehem nyingine plz naombeni,
Natanguliza shukrani zangu kwenu