DAVIES KILANGI
Senior Member
- Nov 25, 2018
- 174
- 117
katika king'amuzi cha startimes kuna channel ya *swahili kuna vipindi vinaandikwa PG na GE, mf kipindi kifuatacho kina kiwango cha PG au GE hivo kinafaa au hakifai kwa watu wenye umri flani, je nini maana ya PG na GE?