Kuweni wavumilivu kidogo, nawawekea taarifa zote ndo nazidraft hapa ili zieleweke. .Jumapili njema
Huu uzi umelenga kutoa fursa kwa wafugaji kuhusu ufugaji wa nzige na masoko yake. Pia unajumuisha ufugaji wa wadudu wengine ambao pia hutumika kulisha wanyama. Sasa kupitia uzi huu tutahabarishana kuhusu masoko yake duniani ila mie nitaambatanisha soko la Ulaya. Kwa yeyote mwenye maoni, mawazo, ushauri, maswali nk yatapata muafaka hapa. .
Hapana kuna mawazo mengi mazuri ya kibiasharaMe nilijua umekosea kuandika..
Hata hivyo kesho ni vunja jungu/ chungu kwa tuliofunga
Najitahidi kutafuta wafugaji kwan Tanzania wapoDuh huyu mpaka upate mayai yake sio mchezo
Kama nilipoeleza hapo awaliMaswali ni mengi kuliko majibu, Wanafugwa kwa namna gani mpaka wakue na kutaga mayai? Je kilo moja ya nzige ina dhamani gani katika soko? Wanahitajika kiasi gani Duniani?
Ngoja nisubscibe mana nilipo naweza nikawafuga kama wote