Gily Gru
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 7,767
- 20,560
Jumapili njema.
Huu uzi umelenga kutoa fursa kwa wafugaji kuhusu ufugaji wa vunjajungu (PRAYING MANTIS) na masoko yake. Pia unajumuisha ufugaji wa wadudu wengine ambao pia hutumika kulisha wanyama.
Sasa kupitia uzi huu tutahabarishana kuhusu masoko yake duniani ila mie nitaambatanisha soko la Ulaya.
Kwa yeyote mwenye maoni, mawazo, ushauri, maswali nk yatapata muafaka hapa.