Ufugaji wa Vunjajungu (pamoja na wadudu wengine) na masoko yake

Gily Gru

JF-Expert Member
Jul 4, 2016
7,765
20,556
Jumapili njema.

Huu uzi umelenga kutoa fursa kwa wafugaji kuhusu ufugaji wa vunjajungu (PRAYING MANTIS) na masoko yake. Pia unajumuisha ufugaji wa wadudu wengine ambao pia hutumika kulisha wanyama.

Sasa kupitia uzi huu tutahabarishana kuhusu masoko yake duniani ila mie nitaambatanisha soko la Ulaya.

Kwa yeyote mwenye maoni, mawazo, ushauri, maswali nk yatapata muafaka hapa.

 
Mayai ya Vunjajungu (Nimekosea kichwa cha habari sio nzige, ni VUNJA JUNGU)

Hizi kwenye picha ni praying mantis eggs (mayai ya vunja jungu)

1.jpg


2.jpg


3.jpg


273814457_466912848406249_2454749001294568808_n.jpg


273814464_676604947112876_3322615049461240480_n (1).jpg


273814464_676604947112876_3322615049461240480_n.jpg


273827940_436827734793398_5233306004315263427_n.jpg


273941408_487210519453724_7434295601265982908_n.jpg


273949620_943827509670251_3389016796786205222_n.jpg


273977705_1013135629301535_1056547065187057566_n.jpg


274089768_1393061361152160_1900199289003294121_n.jpg


274206910_510813710403588_8573995522738128634_n.jpg


274443369_500624601631623_8441642508822184145_n.jpg


274624648_3150847218511779_7899261080103300559_n.jpg
 
Jumapili njema
Huu uzi umelenga kutoa fursa kwa wafugaji kuhusu ufugaji wa nzige na masoko yake. Pia unajumuisha ufugaji wa wadudu wengine ambao pia hutumika kulisha wanyama. Sasa kupitia uzi huu tutahabarishana kuhusu masoko yake duniani ila mie nitaambatanisha soko la Ulaya. Kwa yeyote mwenye maoni, mawazo, ushauri, maswali nk yatapata muafaka hapa. .
Kuweni wavumilivu kidogo, nawawekea taarifa zote ndo nazidraft hapa ili zieleweke. .
 

Attachments

  • video-1646036615.mp4
    6.1 MB
  • video-1646036554.mp4
    8.3 MB
  • video-1646036696.mp4
    9.1 MB
Soko lake:

Huyu ni mmoja wa wanunuzi wa mayai ya vunja jungu (anaaminika). Hata ukiwa na maswali mchekinatakujibu:

Kuna wanunuzi wengi pia na magroup mengi facebook wanaonunua mayai ya vunja jungu, naweza kuambatanifa kuwasaidia wanaotaka kufahamu. Ila sasa binafsi siwajui kwa hiyo unatakiwa upate malipo kabla hujatuma bidhaa yako . .
 
Maswali ni mengi kuliko majibu, Wanafugwa kwa namna gani mpaka wakue na kutaga mayai? Je kilo moja ya nzige ina dhamani gani katika soko? Wanahitajika kiasi gani Duniani?
 
Me nilijua umekosea kuandika..

Hata hivyo kesho ni vunja jungu/ chungu kwa tuliofunga
Hapana kuna mawazo mengi mazuri ya kibiashara
Sijawahi fanya hii kitu ila mazingira yakikaa sawa mbona inafanyika


Nilishawahi andika business plan kuhusu ufugaji wa panya (cane rats) au kwa kiswahili panya aina ya ndezi. Nilituma kwenye shindano la mengi lakini sikupata feedback yeyote. Huu ufugaji ni mgeni bongo, watu hawawezi elewa. Fursa ziko nyingi ila uoga wa kuzitumia fursa na kufeli ndio hapo waswahili tunakwama. .
 
Duh huyu mpaka upate mayai yake sio mchezo
Najitahidi kutafuta wafugaji kwan Tanzania wapo
Nikibahatika kuwapata wafugaji na kupata elimu zaidi nitawashirikisha wana JF.

Hawa wadudu hawaitaji madawa wala kwenda kununua mavyakula, ufugaji wake unaweza kuwa rahisi zaidi na hela yake ni mda wako tu. Kuna jambo la kujifunza, nikaona ngoja niweke jamiiforums ili tupate muelekeo kuhusu hili. .

Mnunuzi au wanunuzi masoko yao yako nchi za nje, soko la bongo sidhani. Ila najua bongo kuna watu wanafuga mende na panya na wanauza mashuleni kwa ajili ya practical training. Panya mmoja anauzwa buku jero, fursa hii pia. .
 
Maswali ni mengi kuliko majibu, Wanafugwa kwa namna gani mpaka wakue na kutaga mayai? Je kilo moja ya nzige ina dhamani gani katika soko? Wanahitajika kiasi gani Duniani?
Kama nilipoeleza hapo awali
Hii biashara sijawahi kuifanya ila huwa natengeneza business plan, wakati nafanya research nikakutana na watu wanaonunua hii. Bado naendelea kufanya research ili nijue kwa kina nitaleta mrejesho wote, bado nina majukumu mengi kipindi hiki. .

Hawa unawadaka kwenye majani wako wengi, unawaweka pamoja. Kikubwa ujue madume na majike, uki google utajua. Pili wananunua mayai yao, wakitaga kabla hawajaangua wanayanunua.

Sasa mfumo wa kutuma wa Posta sijaweka pia, hawatumagi ovyo ovyo kwa hili lazima nalo upate kibali. .
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom