Richie Henry
Member
- Apr 24, 2022
- 15
- 22
Kubwa sana hiloJamani habarini tena!
Napenda kusaidiwa kwa wazoefu juu ya hili jambo, je eneo la robo ekari linatosha kwa kuanzia UFUGAJI WA NGURUWE.?
Ahsante sanaLinatosha
Ahsante sanaLinatosha
Ahsante
Mbona unaleta utani kwenye mambo serious!?Kwanza kabisa napenda kumshukuru mama.. kwakukuwezesha kiweza kufuga nguruweView attachment 3367256
nauza nguruwe wa kunenepesha bei sawa na bureeeJamani habarini tena!
Napenda kusaidiwa kwa wazoefu juu ya hili jambo, je eneo la robo ekari linatosha kwa kuanzia UFUGAJI WA NGURUWE.?
Ni cross breed gani na bei ipojenauza nguruwe wa kunenepesha bei sawa na bureee