Jipatie Kuku Kibiashara

Claudio Mpili

Member
Aug 22, 2017
22
5
Karibuni wote vifaranga vya sasso, kuroiler, malawi na broiler vinapatikana kwa wingi na kwa bei che. Wasiliana nasi kupitia 0714436335 au 0789823594,
Na mafunzo pia tunatoa kwa wafugaji wanaoanza. Mikoani tunatuma bila shida yoyote kabisa. [HASHTAG]#LiveLovePoultry[/HASHTAG]
 
Attachments

  • 21877136_275153522998160_3197886619713536_n.mp4
    5.5 MB · Views: 80
vifaranga wa siku moja aina ya kuroiler ni 2100 - 1900, kwa Sasso ni 1900 - 1700 na Malawi ni 1500. Ukinunua zaidi ya mia kuna punguzo la bei, karibu sana.
 
Karibuni wote vifaranga vya sasso, kuroiler, malawi na broiler vinapatikana kwa wingi na kwa bei che. Wasiliana nasi kupitia 0714436335 au 0789823594,
Na mafunzo pia tunatoa kwa wafugaji wanaoanza. Mikoani tunatuma bila shida yoyote kabisa. [HASHTAG]#LiveLovePoultry[/HASHTAG]
Kuroiler ni F ya ngapi?
 
Bei nafuu ndio shilingi ngapi? Uwe specific bwana
 
Juna tofauti gani kat ya kuku wa
vifaranga wa siku moja aina ya kuroiler ni 2100 - 1900, kwa Sasso ni 1900 - 1700 na Malawi ni 1500. Ukinunua zaidi ya mia kuna punguzo la bei, karibu sana.
Kuna tofauti gani kati ya kuku wa Malawi na kuku wa sasso ktk hali ya utagaji na faida kwa ujumla?
 
kama kuna mtu yupo katika group la ufugaji wa kuku ng'ombe na ufugaji wa samaki kwa whatsapp tafadhali aweke link tujiunge, asante
 
Juna tofauti gani kat ya kuku wa
Kuna tofauti gani kati ya kuku wa Malawi na kuku wa sasso ktk hali ya utagaji na faida kwa ujumla?
Kuku wa sasso wao ni wakubwa zaidi na wanataga sana kuliko malawi. Faida kwa ujumla ni sasso maana wana soko pia kama utawauza kwa nyama
 
Bei nafuu ndio shilingi ngapi? Uwe specific bwana
Bei nimewapa hapo. Ila kwa watakoweza kusubiria ndani ya wiki tatu tunauza vifaranga wa kuroiler kwa tsh 1600 na sasso tsh 1550. Ila kwa anaehitaji sasa hivi bei ya kuroiler kwa 1900 na sasso ni 1800
 
Mie nipo mwanza naitaji sana awo kuku wa sasso ntawapataje ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom