Jipatie Kuku Kibiashara

Jipatie Kuku Kibiashara

Kuku wa sasso wao ni wakubwa zaidi na wanataga sana kuliko malawi. Faida kwa ujumla ni sasso maana wana soko pia kama utawauza kwa nyama

acha uongo wa ikulu wewe sasso hataweza kamwe kutaga kuzidi malawi sema tu ukweli kwamba sasso ni best kwenye minofu na Malawi ni bora kwenye kutaga basi
 
Back
Top Bottom