Kilimo vs ufugaji, hapa nimejifunza jambo, kilimo ni chepesi ila mafanikio yapo mbali, ufugaji ni mgumu sana ila umejaa fedha, kilimo na ufugaji kwa mikoa ya kusini ukivifanya pamoja lazima upate hela, huu ni udhoefu nilioupata field.

Binafsi naeza nkakubali kuwa ukifuga kusin unapata manufaa makubwa kwa ufugaji wa ng'ombe maana jamii nying nlzokuta kusin sio wafugaj wakat Kuna mito Ming isyokauka ht wakat wa kiangaz! Mfno juz nmetokea songea vjjn, ardh yenye mistu ni kubwa hawajafungua kwa kilimo, majan ni meng Ila hawafug! Ukianzisha ufugaj kule ndan y muda utakuwa na kipato kikubwa! Nmenunua mashamb nitaanza kufuga soon