Tumewai fanya hii ya kuzalisha makundi ya nyuki na pia uzalishaji wa malkia wa nyuki...Ni raisi Tena Sana Kama una vifaa.
Nyuki wanamtengeneza malkia wenyewe na wanaweza tengeneza ata malkia 100 kwenye mzinga mmoja! Kuna vifaa maalumu kwa kazi hii,sisi tuliagiza China kupitia alibaba.kuna Queen cells (za plastic) ambazo unaweka katika mzinga na unachukua mayai alaiyotaga malikia wa nyuki na kuyaweka katika hizi Queen cells.
Nyuki watazitunza hizi Queen cell zenye mayai kwa kulisha chakula special Cha malkia wa nyuki kinachoitwa queen jerry.nyuki wakiona queen cells wao wanalisha chakula Cha kuzalisha malkia aijalishi idadi ya queen cells katika mzinga.unaweza zalisha ata queens 300 au zaidi kwa Mara moja toka mzinga mmoja...ila queen 2 awawezi kaa katika mzinga mmoja...nyuki upiganisha malkia mpaka mmoja afe mmoja abakie....
so kabla malkia awatotolewa inabidi uhamishe hizo queen cells...iwapo Kama unataka kufanya hili zoezi tuwasiliane..na few queen cells za plastics so unaweza jaribu...mwakani 2020 nna mpango wa kuanzisha project ya mizinga 10.000 Morogoro tunajenga queen realing lab ndani ya viwanja vya nane nane...wameshatupatia eneo pale na tulishalipa fees zao.
Cell ya kuzalisha malikia huwa inaangalia chini tufauti na za kuzalisha nyuki wa kawaida..nimeweka picha hapa ili uweze tambua queen cellz
View attachment 1287038View attachment 1287038