Urban Edmund
JF-Expert Member
- Mar 20, 2018
- 2,275
- 3,672
nice thread
Unatushauri au unatunangauwa viongozi wenu wakienda ulaya wanaenda kufanyaga nini huko kuja kuwaeleza hili.
nilijifunza nchi za watu
Wape pumba za mcheleTatizo pumba zimepanda bei sanaa!!
Hahaha nilitaka kuuliza swali kama hiliSafi mkuu, sasa hamis utaangalia nguruwe wangu vzr kweli?
😅Unadeal na mifugo gani bwana Hamisi, maana usije itwa na mfugaji kumbe anafuga Shuwaini ukahisi amekudharau.