Ufugaji(kukodi eneo) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ufugaji(kukodi eneo)

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Mkeshahoi, Aug 2, 2011.

 1. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #1
  Aug 2, 2011
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Wakuu,

  Ninaishi nyumba ya mfukoni (kupanga)-DSM,

  Mwenye nyumba wangu ana eneo kubwa ambalo binafsi naona halitumii ipasavyo. Nafikiria kuteta nae anipe mita chache za mraba ili nianzishe mradi mdogo wa ufugaji kuku kwa itakuwa ni jirani na ninapokaa na usimamizi utakuwa rahisi na soko tarajiwa litakuwa jirani. Hii ni katika malengo ya kuwa na eneo kubwa zaidi, la kwangu mwenyewe ili niwe mkulima wa kisasa siku za usoni.

  Kuna yeyote mwenye usoefu na kuwekeza katika mfumo huu?!

  Msaada wenu ni muhimu sana..

  Ahsante na nawasilisha.
   
 2. Dr wa ukweli

  Dr wa ukweli JF-Expert Member

  #2
  Aug 2, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 892
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  kunatopic nyingi sana juu hapo knye hili jukwaa kuhusu ufugaji ipitie kila kitu kipo hapo
   
 3. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #3
  Aug 2, 2011
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Nimeshazipitia na bado naendelea comments moja baada ya nyingie kwani zipo nyingi tu mkuu... mie nasaka mawazo kwa yeyote aloanza kitu hii akiwa katk eneo la kukodi na si lake mwenyewe... changamoto zipi za kukabili..!!

  nitashukuru kwa mchango mawazo !!
   
 4. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #4
  Aug 2, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Uwe mwanaglifu na mkataba
   
 5. d

  damn JF-Expert Member

  #5
  Aug 2, 2011
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 585
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  nilidhani unakodi eneo la mbali, kumbe hapo hapo dirishani ulipopanga? DONT! ni ushauri wa bure.
   
 6. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #6
  Aug 2, 2011
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Ahsante mkuu.. nitakuwa makini..
   
 7. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #7
  Aug 2, 2011
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  unaweza kunishirikisha uzoefu wako katika hali kama hii..?! najaribu kukwepa suala la umbali (kati yangu na mradi) kwa maana ya kupata urahisi wa kusimamia, kuhudmia na wateja wa mwanzo wapo jirani vilevile...!!
   
 8. Who Cares?

  Who Cares? JF-Expert Member

  #8
  Aug 2, 2011
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 3,465
  Likes Received: 1,950
  Trophy Points: 280
  PLEASEEE mkeshahoi..umeambiwa na wakubwa zako ACHAAAA... mie nawajua wenye nyumba wa dasalamu...ukianza kuingiza mia tuu akajua...kodi inapanda maradufu au hata mara tatu... mara utaambiwa harufu ya kuku inatukera hatulali vizuri ukimaliza kuku hawa bomoa banda lako tunataka kujenga mtoto wangu anarudi nyumbani...mara unaskia na yeye anafuga kuku kisa kaona wewe unapata sanaaa.. mara unapandishiwa bili ya umeme mara maji...yani balaa juu ya kerooo na matatizo juu ya problems...ACHAAAAA. PLEASEE
   
 9. d

  damn JF-Expert Member

  #9
  Aug 2, 2011
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 585
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  sina cha kuongezea
   
 10. D

  Dafia Member

  #10
  Aug 3, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 35
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  Usithubutu kufuga kwenye nyumba ya kupanga,utapewa notice ya kuhama jipange taratibu utafute eneo lako hata kama 50 km from city center
   
 11. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #11
  Aug 4, 2011
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Ahsante Mkuu... Nimekusoma..
   
Loading...