Bavicha ni wepesi wa kutoa lawama sana wana sahau kama mtu akiruhusu watu kuropoka tuu mwisho wa siku ni rungu kwa kituo husika na kwa kipindi tulichopo kituo lazima kipigwe ban kiki ruhusu uchochezi!
Waropokaji watamchukia sana Ufo maana anajua kuwaweka kwenye mstari....
Japo sijakiangalia hiki kipindi lakin kwa kusoma comments za watu humu ndani nimeshajua kwann Ufuo Saro analaumiwa. Ukawa bwana!
kuna mmoja anajiita sijui rais wa bao huyu jamaa ni gamba kila siku ni yeye tu kuchangia kwa nini wasiweke utaratibu tupate mawazo mapya? wabadilishe wachangiaji sio walewale kila siku mpaka inaboa
Nimekuwa nikifuatilia kipindi cha malumbano ya hoja kwa muda mrefu sasa. Toka Ufoo Saro awe miongoni mwa waongozaji kipindi kimepwaya.
Mtangazaji huyu amekuwa akiingilia au kukatisha hoja za watu pasipo kuwa na sababu za msingi. Kuna wakati anaonekana ni mwenye jazba sana.
Ushauri wangu: Ufoo ajitahidi kudhibiti hisia au kuondoa uoga ili kipindi kiwe na mantiki nzuri zaidi na kivutie badala ya kupoteza watazamaji.
Bavicha ni wepesi wa kutoa lawama sana wana sahau kama mtu akiruhusu watu kuropoka tuu mwisho wa siku ni rungu kwa kituo husika na kwa kipindi tulichopo kituo lazima kipigwe ban kiki ruhusu uchochezi!
Waropokaji watamchukia sana Ufo maana anajua kuwaweka kwenye mstari....
Kuna Utaratibu wa kushiriki..kama wewe una jipya siku wakitangaza mada omba kushiriki.. sio kulalamika tuu
Ufo ana saidia sana kuwa control na kuwarudisha wachangiaji kwenye mada pia ana zuia uropokaji ndio maana watu wanao penda kutopoka tuu watamuona mbaya!Ni kweli, Hiki kipindi mfano cha jana wajumbe walikuwa wanatoka nje ya mada husika "VICHOCHEO VYA UVUNJIFU WA AMANI VINADHIBITIWA"
Wengine wananza maelezo marefu. Haya Huyo Police yeye anajiona kuwa anamjua sana Marehemu Mtikila; anatoa salamu za Rambirambi kwa familiya. !!!!! pale siyo sehemu yake alitakiwa kwenda msibani akatoe salamu za rambirambi. Changia mada iliyopo mbele yako.
Mwingine anaelezea kuwa iringa watu wanakodisha vijana kufanya fujo. Unatakiwa sema vinadhibitiwa na kama havidhibitiwi nini kifanyike na nani afanye ili kuweka hali ya amani tunapoelekea Uchaguzi.
Ndio maana Mtangazaji alikuwa akiona mtu anatoka nje ya mada au anatoa mifano ambayo haina ushahidi ndipo alikuwa anaingilila kati luweka sawa au kupokea kipaza sauti.
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
Ufo ana saidia sana kuwa control na kuwarudisha wachangiaji kwenye mada pia ana zuia uropokaji ndio maana watu wanao penda kutopoka tuu watamuona mbaya!
Wakisema waache tuu wachangie bila kuthibitiwa ndimi zao au mambo yasiyo faa hakika ITV watakula rungu halafu hawa wanao muona Ufo mbaya watakuwa wakwanza kutoa lawama tena..
Nimekuwa nikifuatilia kipindi cha malumbano ya hoja kwa muda mrefu sasa. Toka Ufoo Saro awe miongoni mwa waongozaji kipindi kimepwaya.
Mtangazaji huyu amekuwa akiingilia au kukatisha hoja za watu pasipo kuwa na sababu za msingi. Kuna wakati anaonekana ni mwenye jazba sana.
Ushauri wangu: Ufoo ajitahidi kudhibiti hisia au kuondoa uoga ili kipindi kiwe na mantiki nzuri zaidi na kivutie badala ya kupoteza watazamaji.
Naona kaathirika kisaikolojia.