Ufoo Saro na Malumbano ya hoja

Anazi.gua kipind hakinogi watu hawafunguki kabisa coz of saro

Dah, hiki kipindi tulikuwa tunakipenda sana karibu familia yote, ila mmoja baada ya mwingine wamechomoka na kukishit. Jana nilibaki nisikilize hoja lakini mwishoni nikashindwa kuvumilia nikaondoka zangu kulala niweze kuamka fresh kuliko kuboreka na uendeshaji kipindi ulivyokuwa. Ufoo saro ni nini lakini? Maana ya malumbano ya hoja haipo sasa, ITV kama vipi badilisheni mumweke mtu mwingine. Mbona Juma Kapalatu yuko fresh tu!
 
Kipindi kime kosa mvuto siku hizi wala sina mpango nacho siku nyingi bora mzee masaki kesho

Nilini hicho kipindi kiliwahi kuwa na Mvuto tangu kianzishwe KITI MOTO kilikuwa enzi ya pascally Mayalla sio huo upuuzi wa sasa Kipindi hakina ubunifu wet Ujinga tu
 
Last edited by a moderator:
Hujioni mpweke kwa mawazo yako katika thread hii? Watu wanaongelea kipindi wewe unaleta za UKAWA. Plastic brains you got there

Asilimia 100 % ya wachangiaji ni hopeless ukawa unategemea waseme nn kama sio kulalamika as usual... It's Better I Ave Plastic Brain Instead U Ave No Brain But Buttocks And U Ar Using Them for Thinking.
 
UFO SARO kaniboa sana jana. nahisi n kati ya watu wasio na qualifications za kaz yake.
ama kuna ndugu anambeba ITV haiwezekani aendeshe kipindi kama watu n ma robot..n
 
Ufoo yeye anataka anachokijua yeye ndo yawe maoni yako...shame
 
Ha haaaa haaaaa.... nilizoea kumuona ufo anariport tu.... ila akili ya mtu inajulikana kwenye vipindi kama hivi.... kumbe kuripoti matukio ni rahisi.... kuna polisi mstaafu jana alimwambia...." ukiona mtu amevaa suti na imemkaa vizuri ujie ana nguo za ndani" kaz kwake ufoooooo....
 
Asilimia 100 % ya wachangiaji ni hopeless ukawa unategemea waseme nn kama sio kulalamika as usual... It's Better I Ave Plastic Brain Instead U Ave No Brain But Buttocks And U Ar Using Them for Thinking.
wewe sio yule aliye kuwa meya na mgombea ubunge wa .....
 
Ukawa sijui umeiingizaje kwenye huu uzi! Ufoo anaendesha kipindi vibaya kwa kuwakatisha watu na kuingilia maoni yao pasipo kujali itikadi ya chama, jana alimkatisha yule polisi mstaafu na rais wa wacheza bao ambao wote ni pro ccm. Wakati mwingine tusiusononeshe ubongo kwa sababu za kisiasa! shame!
 
Siku hizi huwezi ruhusu kila mtu kujisemea ovyo kwenye media, implication zaweza kugharimu kazi yako na ukaishia kulipa gharama kubwa!
 
Simpendi huyu dada jamani... Nashangaa hata yule jamaa aliyepoteza uhai wake kisa huyu Ofoo...

Yawezekana ana MBUNYE tamu sana kwani siku zote Wanawake wenye sura za gari ya mkaa injini zao huwa nzuri sana na hazitemi hovyo hovyo wala kutoa pafyumu za nguru kama za Wanawake wenye mwonekano mzuri.
 
Huyu mwanamke, Ufoo Saro anaboha, anachefua, anakifu na hafai kabisa kuongoza kipindi kama kile.. After all anaonekana bado ana matatizo ya kisaikolojia huyu, tunaweza kuwa tunamlaumu kumbe tatizo liko beyond her control. Namshauri tu iwe in Mr Menngi au bi Joyce Mhaville au whoever, please please please ondoeni mtu huyu kwenye kipindi hiki mhimu. Mpelekeni kwenye kuripoti matukio huko ambako kidogo huwa anajalibu. Anaiondolea kabisa hadhi ITV kama Super brand no.1 Africa..
 
UFO SARO kaniboa sana jana. nahisi n kati ya watu wasio na qualifications za kaz yake.
ama kuna ndugu anambeba ITV haiwezekani aendeshe kipindi kama watu n ma robot..n

Qualification yake kuu ni kuwasababishia tu Wanaume wapate stress na WAJITUNDIKE kama kwa Bwashee Afande Mushi.
 
Inasemekana kuwa ana UNDUGU wa ukaribu tena KIUKOO na Ze big boss Mr. Noise Baba Kulwa na Dotto na MIKOBA yote ya KIMILA ili kituo kiende sawa kaibeba yeye. Wewe unadhani hizi lawama MUKULU hazipati Mkuu? Wako wako very STRATEGIC KIBIASHARA na KIMKAKATI.
 
Unatumia generator, au?
 
Hakika Ufo saro amewathibiti waropokaji ndio maana wanamchukia kuna watu wanajenga hoja vyema na wanaonekana! Hongera Ufo saro!
Mkuu ni kweli huyu dada anaingilia watu kwa jazba sana...kamuingilia mzee mmoja hapa mzee kampa kubwa

Hiki kipindi kimepoteza umaarufu tangu wamweke Ufoo Saro. Hakina mvuto kwa kuwa Ufoo Saro hana hekima wala busara. Wangemwacha akawa anaripoti tu matukio. She is a total failure ila anabebwa tu.

Naona Ufo Saro amewabana sana watoa hoja au wachangiaji kiasi kwamba kipindi kimekuwa ni malumbano na Ufo Saro na sio malumbano ya hoja.

Naona mpaka Juma Kapalatu ameamua kuwa mpole, haongei.

Sijui wenzangu mnaonaje

Itv mtoebi huyu dada mara moja anakera sana na anakifanya kipindi kiwe cha ovyo sanaa!anakera mnooo

Ni kweli Ufo Saro amekuwa dikteta sana, mpaka watu watu wanashindwa kuongea

Simple Psychology, siku zote Mwanamke akifikia umri wa kuolewa na akakosa mume, basi huwa na tabia za namna hiyo. Wadada na wamama msijenge chuki, ukweli ndo huo.

Sasa naweza kujua kwa nini Marehemu Mushi aliamua kumpiga risasi huyu Ufoo Saro. Hakuna mwanaume yoyote anayeweza kuvumilia ubabe wa kijinga wa huyu Ufoo Saro.

UFO SARO kaniboa sana jana. nahisi n kati ya watu wasio na qualifications za kaz yake.
ama kuna ndugu anambeba ITV haiwezekani aendeshe kipindi kama watu n ma robot..n

Ufoo yeye anataka anachokijua yeye ndo yawe maoni yako...shame

Siku hizi huwezi ruhusu kila mtu kujisemea ovyo kwenye media, implication zaweza kugharimu kazi yako na ukaishia kulipa gharama kubwa!

Siku hizi huwezi ruhusu kila mtu kujisemea ovyo kwenye media, implication zaweza kugharimu kazi yako na ukaishia kulipa gharama kubwa!
Bavicha ni wepesi wa kutoa lawama sana wana sahau kama mtu akiruhusu watu kuropoka tuu mwisho wa siku ni rungu kwa kituo husika na kwa kipindi tulichopo kituo lazima kipigwe ban kiki ruhusu uchochezi!

Waropokaji watamchukia sana Ufo maana anajua kuwaweka kwenye mstari....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…