Ufoo Saro na Malumbano ya hoja


Usikute Ndiyo maana alilambwa shaba na jamaa yake.
 
Kwanza hana uelewa mpana wa mambo na hajui watu wana namna tofauti ya kujenga hoja.Anataka mtu aende straight kwenye hoja.Sasa hapo kulumbana kuna maana gani?halafu kipindi gani kina sura zile zile hata mtu hajaongea unaweza ku predict msimamo wake.Na hata seats wana kaa zile zile .Mtu unatamani meza kuu ndo waongee tu make wenyewe wanakuwa na uelewa.kunakuwa na wachangiaji wachache wanaokuwa wamejiandaa wengine wanarudia points zile zile Za waliotangulia .
 
Simpendi huyu dada jamani... Nashangaa hata yule jamaa aliyepoteza uhai wake kisa huyu Ofoo...
 
Ufoo Saro anakera.

Kila mtu akitaka kuongea anamrukia.Alafu maneno yake ni yale yale.

1.Rudi kwenye mada
2.Nini kifanyike.
3.Muda umeisha

Anafanya kipindi kidorore sana. Naona mwenzike Juma Kapalatu mpaka ameamua kujinyamazia. Mimi nadhani huyu mama ana msongo wa mawazo au ana upeo mdogo wa kudadavua mambo. Leo haikuwa malumbano ya hoja.Ilikiwa malumbano na huyu mama.

Hiki ni kipindi cha wananchi.Waachiwe waongee.Hata wakiongea wachache ni sawa tu.Sio lazima waongee wote. Akiwa kama mwendesha kipindi ajifunze pia kutumia mifano ya kuwafurahisha watu au kutoa jokes.

Na pia afanye utafiti juu ya mada.
 
Kipindi hakina mvuto tena ..bora nimcheki braza K wa futuhi.
 
Japo sijakiangalia hiki kipindi lakin kwa kusoma comments za watu humu ndani nimeshajua kwann Ufuo Saro analaumiwa. Ukawa bwana!
 
Sometime kanakera sana, juma kaparatu akijaribu kuweka sawa anadakiwa juu kwa juu. Aisee, anafanya kaz ktk mazingira magumu sana hata wachangiaj wananyong'onyeshwa hoja zao
 
Simple Psychology, siku zote Mwanamke akifikia umri wa kuolewa na akakosa mume, basi huwa na tabia za namna hiyo. Wadada na wamama msijenge chuki, ukweli ndo huo.
 
Style ya Ufoo inawaumiza sana wajumbe wanaokariri points.ukisemeshwa kidogo unakosa mwelekeo
 

Anaudhiiiiiiiii
 
Mimi nilikuwa natafuta busara yake ya kumuingilia mtu bila sababu za maana sikuiona nikafikiri labda mimi nd'o sielewi kumbe wengi mliliona. Nafikiri pia ITV na hata vituo vingine vijfunze kuweka watu sahihi kwenye vipindi vyao wakiongozwa na maswala ya mvuto , uelewa , utanashati , ubunifu na ile sense of humor.
 
Hata mimi najiuliza kulikoni?Kazidi kiherehere hadi mzee polisi mstaafu kamuambia "Ukiona mtu kavaa suti kapendeza ujue ndani kuna nguo nyingine".

Ingekuwa busara wangemuacha awe anaripoti habari tu, kuongoza kipindi hasa hicho cha moja kwa moja na chenye watu wengi hawezi.
 

Alinichekesha sana aliposema bao la mkono au la kisigino yote mabao tu. Kweli kila mtu ana busara kabla ya kufungua mdomo!
 

Anataka kusikia hoja na maelezo anayopenda kuyasikia yeye na haruhusu wengine wafikirie!
 
Sasa naweza kujua kwa nini Marehemu Mushi aliamua kumpiga risasi huyu Ufoo Saro. Hakuna mwanaume yoyote anayeweza kuvumilia ubabe wa kijinga wa huyu Ufoo Saro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…