Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,333
Ningeshangaa kama angesema.
Mushi alikosea sana kulenga.
Moyo wa mtu ni kiza kinene. Kulizungumzia hilo swala kunaweza kuleta mkanganyiko zaidi. Mungu kampa nafasi ya pili; afunge mkanda alee mwanae....Mambo yanayohusu nafsi ya mtu ni faragha yake na ana haki ya kuyaficha.
Ningeshangaa kama angesema.
Mushi alikosea sana kulenga.
Kaapa mahakama gani?
Ningeshangaa kama angesema.
Mushi alikosea sana kulenga.
mahakama ya global publishers kwa hakimu Eric Shigongo