Mzito Kabwela
Platinum Member
- Nov 28, 2009
- 18,908
- 7,752
Ritz hawezi kuja hapa. Ni kama msikiti tulio jirani na bucha ya KITIFIRENimepitia humu nashangaa sjamuona mohamed said wala Ritz wala abbassyria na wapuuzi wengineo wafaidika wa wizi wa balozi,hicho kilichohojiwa PAC Jana ni mwanzo tu ya mengi yatakayohojiwa,bado viwanja hewa nk,lazima nyoka achomolewe shimoni safari hii maana hiyo ripoti imetinga PAC ndo iingie bungeni,bahati mbaya rafiki yangu zito alikuwa m/kiti PAC na madudu mengi aliyafukia sababu ya uswahiba na balozi na mkwere na hata yule jamaa yulee pale St.peter, wote hao ni wamoja
Lowassa kaitwa fisadi miaka nane,lakini waliomwita fisadi wakata awe RaisTanzania amna kitu kama icho,Gambo kafikishwa kwenye tume ya maadili mara mbili ila sasa hivi ni mkuu wa mkoa. Uyu Dau kaifilisi NSSF lakini hawatoweza kumgusa kwasababu amna mtu anaepinga ufisadi.
Pita pole pole Mkuu, sababu kila kona machinga wamepanga bidhaa.Atapewa cheo kingine, ngoja nipite pole pole.
Mkuu kwa huyu bwana sijui! Sometimes unawaza kwa nini kuwa na kiburi kiasi hiki kwa watawala wakati ukweli upo wazi?Balozi Dau arudishwe nyumbani kwa uchunguzi zaidi.
Mbona Lowasa hajapewa kama mafisadi wanapewa nafasiUkiwa fisadi Tanzania unapewa na cheo cha kukulinda.Msema kweli ni mpenzi wa Mungu.[HASHTAG]#Lekatutigite[/HASHTAG]
wadini mtaumia sana,hadi muharibu mimba na kuvuruga tarehe zenu za hedhiDuh haya mambo ya Dr Dau yalisemwa sana lakini kwa mshangao wa wengi leo ni Balozi.
Dau pekee ndo mwenye dini au ndo mtume mohamed,mramba na yona hawakuwa na dini,mahalu na kitilya wao ni wapagani,sasa dau hatumponyeshi na kisutu atasongawadini mtaumia sana,hadi muharibu mimba na kuvuruga tarehe zenu za hedhi
Mafisadi wa lugumi,escrow etc.Mbona Lowasa hajapewa kama mafisadi wanapewa nafasi
Dau pekee ndo mwenye dini au ndo mtume mohamed,mramba na yona hawakuwa na dini,mahalu na kitilya wao ni wapagani,sasa dau hatumponyeshi na kisutu atasonga
akisonga kisutu ni PM..DAU ameshutumiwa udini tangu siku zake za mwanzo za ukurugenzDau pekee ndo mwenye dini au ndo mtume mohamed,mramba na yona hawakuwa na dini,mahalu na kitilya wao ni wapagani,sasa dau hatumponyeshi na kisutu atasonga