celinawetu
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 1,330
- 1,059
Mr Dau ni balozi wa Malaysia after 8 month vetting inatosha kuthibitisha alikuwa hana hatia......
Kama atakuwa fisadi basi tuanze na kitengo cha vetting Ikulu kwa kukipekua
Lakini zaidi ya hapo Hizo polojo za magazeti ya udini na kuchafuana.............
HUYU NDIO BOSI MPYA WA NSSF
View attachment 424886 View attachment 424886 View attachment 424885 View attachment 424887
Asante kwa taarifa kiongozi.Mkuu dau keshasimamishwa na atachunguzwa na ndo atakuwa mshitakiwa no moja,2 msemo,3 kidula,4 mseli
Mohamed said jiandae kwendampokea dau airport siku anarudishwa kwenda kisutuAsante kwa taarifa kiongozi.
mkuu hii itakuwa ya Lowasa amini usiamini.Nani mmiliki wa hii kampuni ya Azimio, na kwa sasa yupo wapi?kwa nn hajakamatwa?
Limbuyu likubwa huwezi kuliangusha kama kamti ka muhogo maana kishindo chake ni kikubwa, labda unafanya maarifa na kuupeleka mbali kusiko na watu alafu unaanza kuingilia mambo yaliyokuwa yakifanyika. Ili kuweka mambo sawa na 'kuiona' kamati unakuta inakuwa vigumu na labda inalazimika kupiga simu ambazo zinadukuliwa na kusafiri (kuja home) inatakiwa kibali cha mkulu. Lakini ni kwa nini hata Mzee wa TRA hawakufanyiwa hivi!?Naunga mkono hoja.Hizi tuhuma ni nzito.Isije ikaonekana tumbua tumbua ni kuonea vidagaa na kuacha mapapa.
Isitoshe wakurugenzi wote wa idara mbali mbali chini ya Mh.Dau walishasimamishwa kupisha uchunguzi.Why not Mh.Dau?
HUYU MMILIKI WA NEWCASTLE UNITED AMBAE AMEJENGA SANTIAGO BERNEBEO NYUMBANI KWAKE MJIMWEMA AU DAU YUPI?
Hebu i-edit weweHii report ndio kasaini Bosi profesa mpya wa NSSF?..duuh yaani kashindwa hata kupeleka kwa editor kunyoosha lugha?..jamani uongozi kazi nyinyi sikieni hivyo hivyo tu..
Ni stoo sasa mkuunasikia alikuwa bingwa wa.kupiga madufu,na mpaka sasa anafanya kazi hiyo.
ule msikiti wa pale ofisini unatumiwa na nani mpaka tunahangaika na moroko?
Nimepitia humu nashangaa sjamuona mohamed said wala Ritz wala abbassyria na wapuuzi wengineo wafaidika wa wizi wa balozi,hicho kilichohojiwa PAC Jana ni mwanzo tu ya mengi yatakayohojiwa,bado viwanja hewa nk,lazima nyoka achomolewe shimoni safari hii maana hiyo ripoti imetinga PAC ndo iingie bungeni,bahati mbaya rafiki yangu zito alikuwa m/kiti PAC na madudu mengi aliyafukia sababu ya uswahiba na balozi na mkwere na hata yule jamaa yulee pale St.peter, wote hao ni wamojaHUYU MMILIKI WA NEWCASTLE UNITED AMBAE AMEJENGA SANTIAGO BERNEBEO NYUMBANI KWAKE MJIMWEMA AU DAU YUPI?
1:4mkuu hii itakuwa ya Lowasa amini usiamini.
Nani mmiliki wa hii kampuni ya Azimio, na kwa sasa yupo wapi?kwa nn hajakamatwa?
Mkuu haitwi bakdad huyu ni Akbar ni watu tofauti,ila Azimio ni kampuni ya dau kufanyiwa wiziMmiliki wake ni fisadi papa moja laitwa Baghdad...alishawahi fungwa kwa kesi nyingi sana za ardhi...anajulikana na ni tajiri fulani hivi!......ana gorofa zaidi 100 kariakoo na upanga....hiyo ni partnership na yule Vasco da Gama.....ndio aliemshika mkono na kumtambulisha kwa Alhaji wetu Balozi.....sasa kama wanaweza kufukua makaburi hayo yetu macho zaidi watafukia na kufunika kimbe.........siku 2 baada MFALME kuapishwa jamaa alishajua nini kinakuja akatimua zake mbio hayupo tena maana walishagombana na mfalme kwenye lileeee daraja....kama hujui daraja lilisukwa na kupewa nssf sababu mradi huo mkubwa.....unganisha dots utaelewa! Lile daraja halikusimamiwa na wizara ujenzi walisimamaia nssf wenyewe na project team yao!! Mwenye azimio dege project alishasepa.......
he
Hebu i-edit wewe
Ritz anajua hili?Ni stoo sasa mkuu