Tusiwe na Tabia ya kupuuza hoja kwa mihemko ya vyama. HATA Hawa ndugu zetu wa UKUTA wana kasoro zao NA tangu wamkaribishe Jamaa yangu kuwa mgombea Urais Sera ya Kupinga Ufisadi kwao imekuwa Sio kipaumbele tena ila UKUTA, NA bunge live.
Suala la watumishi kutokuangezewa mishahara July kama ilivyo kawaida wao haliwahusu. Madawati hawawezi kuchangia wala HATA kuyazungumzia hawana muda. Kikubwa kwao ni maandamano, kwa staili hiyo Magogoni kuingia wasahau