DOKEZO Ufisadi wa Ardhi Arusha: Viongozi Idara ya Ardhi wanajimilikisha viwanja kwa kisingizio cha kutoendelezwa

DOKEZO Ufisadi wa Ardhi Arusha: Viongozi Idara ya Ardhi wanajimilikisha viwanja kwa kisingizio cha kutoendelezwa

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
Viongozi wa Halmashauri ya jiji la Arusha na Commissioner wa ardhi wanapora viwanja vya watu kwa kisingizio kuwa havijaendelezwa muda mrefu. Hayo yametokea kwa Commissioner aliehamishiwa Dodoma kwa sasa (jina: Mwamsojo) alijimilikisha viwanja 2 na afisa ardhi wake anayejulikana kwa jina la Alex pia amepora kiwanja cha mama mmoja na amekiuza kwa 70m

Commissioner mpya aliyekuja pia anataka kuendeleza jambo kwa kisingizio cha kutokuendelezwa kwa viwanja hivyo kumbe wanajimilikisha wao kupitia majina mengine ili wasijulikane.

Tunaomba mhe Rais tusaidie kwa hili kwani siyo haki kufanyiwa haya. Isingekuwa busara kufanya jambo hili na hasa ikizingatiwa huu ni mwaka wa uchaguzi hata hawaogopi.
 
Back
Top Bottom