Ufisadi wa 200 bilioni Ikulu

Status
Not open for further replies.
AMEEEN!..na MUNGU aendelee kubariki kazi za mikono yenu; muendelee pia kuyaenzi aliyoyafanya baba yetu. Huu kwa kweli ni ushuhuda mzuri.
 

..sasa mbona amekimbilia London ambako ndiyo kuna makao makuu ya SFO?

..najua IKULU wanakula RUSHWA, lakini hii habari yako naanza kuitilia mashaka.
 
..sasa mbona amekimbilia London ambako ndiyo kuna makao makuu ya SFO?

..najua IKULU wanakula RUSHWA, lakini hii habari yako naanza kuitilia mashaka.
Mapishi haya yanafanana na mapishi ya Yeriko Nyerere. Naye ni moishi kweli wa uongo kama Jason Bourne
 
Kumbe ni @jason bourne. Aisee huyu ni mtunzi mahiri wa bavicha;;;;;;;;;
 


Kassim Mtawa, waislamu hawafanyi madhambi kama haya. Unaenda ahera, hejanam kabisaaaaa

Ukishaona mtu anavaa suti ya mikono mifupi ujue hamna kitu. Nchi yetu inaathirika sana kwa kupata viongozi washamba na/au watu washamba kupata fursa za kufanya uharibifu. Wao wandhani kujilimbikizia fedha kwa njia ya kukwapua (bila kuzalisha) ndio ujanja.
 
hii nizaidi ya Hatari huu ufisadi mpaka lini? jibu nirahisi 2015 ndio mwisho
 
lowassa ataendelea kuanika ufisadi wa jk na watu wake wa karibu mpaka aombe po na aache kumpromote membe for presidency!asilimia 80 ya maofisa wa TISS wanaripoti kwa mamvi,deal zote anazopiga jk mamvi anapata taarifa na ushahidi thabiti...
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…