Ufisadi una msaada kwa jamii. Tuwe wakweli

Mtuflani Official

JF-Expert Member
Dec 31, 2019
1,563
2,000
Ufisadi japo wengi wanauponda ila mimi binafsi naona una msaada kwa kiasi flani. Ni watu wachache sana Tanzania hii wanauwezo wa kumiliki bilioni 5.

Mtumishi wa umma au Mwanasiasa akipiga bilioni 5 anaweza hata kujenga hoteli watu wakapata ajira. Hizo pesa za ufisadi zinaweza hata kuanzisha makampuni yakatengeneza ajira kwa watu wengi.

Binafsi naona ufisadi unasaidia kwa kiasi flani.
IMG_9391.JPG
 
Nyumisi

JF-Expert Member
Nov 10, 2010
7,577
2,000
Yaani unatetea mtumishi wa umma au mwanasiasa apige bil. 5 ili afanye investment ambayo hana uzoefu nayo? unajua ni watu wangapi wameathirika kwa kukosa dawa au kwa kupita kwenye barabara yenye mashimo? serikali inao uwezo wa kutengeza mabilionea kwa kutumia wafanyabiashara au wawekezaji waliopo kwa kuwapunguzia au kuwasamehe kodi nk. na siyo kwa watumishi au wanasiasa kukwapua pesa za umma.....umeleta hoja ya kipuuzi ndugu.
 
Mtuflani Official

JF-Expert Member
Dec 31, 2019
1,563
2,000
Yaani unatetea mtumishi wa umma au mwanasiasa apige bil. 5 ili afanye investment ambayo hana uzoefu nayo? unajua ni watu wangapi wameathirika kwa kukosa dawa au kwa kupita kwenye barabara yenye mashimo? serikali inao uwezo wa kutengeza mabilionea kwa kutumia wafanyabiashara au wawekezaji waliopo na siyo kwa watumishi au wanasiasa kukwapua pesa za umma.....umeleta hoja ya kipuuzi ndugu.

Its not that serious mkuu. Acha pesa isambae
 
Nyumisi

JF-Expert Member
Nov 10, 2010
7,577
2,000
Its not that serious mkuu. Acha pesa isambae
Aliyekwambia pesa inasambaa kwa watu wachache kukwapua ni nani? serikali inaweza kuongeza matumizi kwenye miradi yake (government spending) na hata kuongeza ajira na mishahara ya watumishi na pesa ikasambaa mitaani na siyo kwa watu wachache kuiba, bado unaendelea kutetea utopolo, wewe utakuwa fisadi unayetaka kuhalalisha ufisadi wako kwa kutafuta support ya members humu.......hovyo sana.
 
Countrywide

JF-Expert Member
Mar 2, 2015
8,046

Na hapo unaweza kukuta ana degree. Hii nchi kazi ipo, yaani Mtu anaamini uchumi wa nchi utajengwa kwa kuiba pesa. Astaghfirullah astaghfirullah astaghfirullah......
 
MfalmeJua

New Member
May 23, 2021
3
45
Ufisadi japo wengi wanauponda ila mimi binafsi naona una msaada kwa kiasi flani. Ni watu wachache sana Tanzania hii wanauwezo wa kumiliki bilioni 5.

Mtumishi wa umma au Mwanasiasa akipiga bilioni 5 anaweza hata kujenga hoteli watu wakapata ajira. Hizo pesa za ufisadi zinaweza hata kuanzisha makampuni yakatengeneza ajira kwa watu wengi.

Binafsi naona ufisadi unasaidia kwa kiasi flani. View attachment 1809332

Asilimia kubwa ya watanzania ni wezi,wanao dai uzalendo ni kwamba awaja shilikishwa kwenye mgao.
 
Auz

JF-Expert Member
Apr 6, 2016
9,447
2,000
Ufisadi japo wengi wanauponda ila mimi binafsi naona una msaada kwa kiasi flani. Ni watu wachache sana Tanzania hii wanauwezo wa kumiliki bilioni 5.

Mtumishi wa umma au Mwanasiasa akipiga bilioni 5 anaweza hata kujenga hoteli watu wakapata ajira. Hizo pesa za ufisadi zinaweza hata kuanzisha makampuni yakatengeneza ajira kwa watu wengi.

Binafsi naona ufisadi unasaidia kwa kiasi flani. View attachment 1809332
Itategemea kama fisadi atakuwa na wazo hilo! Wengine walimbikiza nje ya nchi.
 
Smart911

JF-Expert Member
Jan 3, 2014
61,973
2,000
Hizo pesa zitakazoibiwa zitakosesha maendelea mengi na makubwa...
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom