Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 12,499
- 17,572
Kati ya sheria na haki kipi muhimu tunawachoma kwa mujibu wa haki sheria ni upumbavu mtupu hata majambazi wana sheria zaoRaia katika nchi wanapaswa kuishi kwa mujibu wa sheria.Sasa mnapochoma majambazi moto huwa mnafanya hivyo kwa mujibu wa sheria ipi?
Nchi huwa inaongozwa kwa mujibu wa katiba na sheria na siyo kwa mujibu wa matakwa au matamanio ya Rais.Ni sheria ipi hiyo inayoelekeza kuwa wafungwa wapige kazi usiku na mchana na pia wazembe wapigwe mateke?