Ufisadi mwingine huu

Ufisadi mwingine huu

supermario

Member
Joined
Dec 2, 2011
Posts
48
Reaction score
15
Mmiliki wa machinjio ya nyama Vingunguti anayechinja zaidi ya ng'ombe 500 kwa siku ambaye anatoza sh4300 kwa kila ng'ombe na mgawanyo uko kama hivi: 1500 ya mmiliki, 300 ya mchinjaji na 2500 kwa mkusanya hela wa halimashauri.
Kwa hesabu za haraka mfanyakazi wa halimashauri anapokea kiasi cha 1,250,000 kwa siku kwa idadi ya ng'ombe 500.

Hatoi risiti, halimashauri haitoi msaada wa aina yeyote ile mfano vifaa vya usafi nk. Huyu mfanyakazi anapata zaidi ya 37,500,000 kwa mwezi! hehehe kweli bongo tambarare! Hawezi kamatwa kwa kuhujuma ya aina yeyote ile? Hata ugaidi basi?
 
Jaji keshatoa somo kuhusu ugaidi. Nyumba iliyozeeka kila mmoja anachukua vya kwake mapema; mwingine fito, mwingine pao, nguzo, nyasi n.k. Sasa tuseme nini?
 
Huo ujumbe u-forward TRA kwenye website yao kuna kipengele cha maoni, SAIDIA TAIFA LAKO kwa kufanya hivyo sasa.
 
ACHA majungu,tafuta kazi ya kufanya....
 
Hee, huko halmashauri nitampenyeza vipi mwanangu akafanye kazi jamani?
 
Kwan halmashauri ni mtu au ni taasisi??je huyo mkusanya ushuru wa halmashauri pesa hizo ni zake au za halmashauri ya wilaya?
 
Hee, huko halmashauri nitampenyeza vipi mwanangu akafanye kazi jamani?

wewe ni "he" au "she"?, mwanao ni "he" au "she"?: huko halmashauri kila mtu ameshashiba "fedha", rushwa ya kupata kazi ni "ngono" tu, mpeleke mwanao ama nenda mwenyewe, mahela yako nje nje.
 
Tanzania imetekwa na kikundi kidogo cha majambazi wasio na silaha yeyote na wanashirikiana kama mchwa waonapo mwanga ktk nyumba yao.
 
wewe ni "he" au "she"?, mwanao ni "he" au "she"?: huko halmashauri kila mtu ameshashiba "fedha", rushwa ya kupata kazi ni "ngono" tu, mpeleke mwanao ama nenda mwenyewe, mahela yako nje nje.

Naafwa!
 
Hii ndo tz, ukisema kweli utaambiwa je hawa jamaa :fencing:wa ncha kali unawajua? ila nadhani ujumbe umefika kwani hili nalo ni jukwaa la umma.
 
kuna watu wanaipenda ccm ukiisema wanasikia kutokwa na roho kwa kuwa wao ni wanufaika wa kutafuna nchi,kwa panzia la chama cha mapinduzi hiki ni kichaka cha wezi, mwizi analindwa kwa garama yoyote, kwa nini michwa wasikipende kichaka chao,
 
Back
Top Bottom