mkurugenzi mtendaji wa halimashauri ya wilaya ya bukombe/mbogwe mkoani geita amewaonya watumishi wapya waloajiliwa mwaka 2012 wilayani humo kuwa wanachama wa mfuko wa lapf la sivyo watakiwa waache kazi baadhi ya wa2mish nilokutana nao wametishia kwenda mahakamani kwani hawaja wahi kuingia mkataba na mfuko huo wa jamii huku wengine wengi wao wakiwa walimu wakitishia kuwa tayali kuacha kazi kama hawata kubaliwa kujiunga na pspf na wengine wakilazimika kutafta uhamisho.wakwenda ktk halimashauri nyingine popote nchini.