Wong Fei
JF-Expert Member
- Apr 13, 2016
- 5,538
- 7,297
Hiyo inawezekana lkn haitawahusu wanasiasa km polisi, wanajeshi, wakuu wa wilaya na mkoa. Hiyo ni kwa watu wanyonge tu. Ila kuhusu ajira huyu mtu simuamin hata kidogo. Huyu si ndiyo aliyesema atasimamisha kwa mwez mmoja na nusu au miez 2?km ndiyo huyu tutangoja sanaAmesema bado wale waliorudisha umri nyuma.
AKAMUULIZE ZUMA