Siasa za CHADEMA hivi sasa zimebaki bungeni tu, bunge limeisha tumesahaurika, hatusikiki, na wala hamna anayewafuatilia mambo yetu,
Watanzania wote wameamua kushirikiana na rais Magufuli na kuachana na siasa zetu za kikanda.
Hapa makao makuu ni ugomvi kila siku, Mbowe kamnunia Sumaye kwa kutamka hadharani eti magufuli ni Jembe. Lowasa anaanda mapinduzi ya kujipatia uenyekiti, Mnyika kajitenga na shughuli za utendaji, Kubenea ndo kajikabidhi uenezi wa chama.
Yani structure haifuatwi tena. ukibisha pitia hapa ufipa, ofisini pamepwaya. Zogo kubwa ni namna ya kugawana ruzuku, kuna watu wanataka kurudishiwa pesa kwanza walizotoa wakati wa uchaguzi.
MAGUFULI kwa mwendo huu, utatuumiza.
hapo umenena mkuuCHADEMA NI CHAMA CHA KUKUMBUKWA SIKU ZOTE HATA KIKIFA KESHO KINA HISTORIA NCHI HII. KIMSINGI CHADEMA NDIO IMEMLETA MAGUFULI NA SIO HIVYO TU HATA KUMFANYA MAGUFULI AFANYE HAYA MACHACHE TUNAYO ONA ANAYAFANYA, MAANA BILA YA PRESSURE YA CHADEMA, CCM WASINGETAFUTA MTU KAMA MAGUFULI NA HATA KAMA ANGEPATIKANA KWA MIKAKATI YAO WAO CCM, WANGEMDHIBITI KWA MATAKWA YAO YA KILA SIKU TANGU KIINGIE MADARAKANA. NA HATA SASA TUKIJISAHAU TU, CCM WANARUDI BUSINESS AS USUAL.
"WE DON'T HAVE TO BE OVER COMPLACENCY"
Siasa za CHADEMA hivi sasa zimebaki bungeni tu, bunge limeisha tumesahaurika, hatusikiki, na wala hamna anayewafuatilia mambo yetu,
Watanzania wote wameamua kushirikiana na rais Magufuli na kuachana na siasa zetu za kikanda.
Hapa makao makuu ni ugomvi kila siku, Mbowe kamnunia Sumaye kwa kutamka hadharani eti magufuli ni Jembe. Lowasa anaanda mapinduzi ya kujipatia uenyekiti, Mnyika kajitenga na shughuli za utendaji, Kubenea ndo kajikabidhi uenezi wa chama.
Yani structure haifuatwi tena. ukibisha pitia hapa ufipa, ofisini pamepwaya. Zogo kubwa ni namna ya kugawana ruzuku, kuna watu wanataka kurudishiwa pesa kwanza walizotoa wakati wa uchaguzi.
MAGUFULI kwa mwendo huu, utatuumiza.
Alefilisika hoja utamjua tu kwa lugha ya ukabila, ukaburu. Wahi kabla dirisha la ulua halijaclose.Tatizo CHAGA-DEMA
Hawa shauriki
Hawa kosolewi
Niupumbavu upumbavu
Hawana lingine kabissa
Juzi DJ kaji tutumua
Katoa rist ya mafisadi yake
Watanzania wakampotezea
Kiukweli wanajutia kununuliwa na Fisadi
Ingawa una hoja mufilisi, umeshahalalisha pato leo. Wahi leo wanafunga mapema.Hao ndio chaga dema makajanja wa bongo
Maneno yako ni ya ukweli kabisa, kosa lenu la kumbeba mfalme wa mafisadi, ndilo lilosababisha Magufuli achaguliwe, na Chadema ikose umaarufu kwa kujipaka marashi ya kifisadi.CHADEMA NI CHAMA CHA KUKUMBUKWA SIKU ZOTE HATA KIKIFA KESHO KINA HISTORIA NCHI HII. KIMSINGI CHADEMA NDIO IMEMLETA MAGUFULI NA SIO HIVYO TU HATA KUMFANYA MAGUFULI AFANYE HAYA MACHACHE TUNAYO ONA ANAYAFANYA, MAANA BILA YA PRESSURE YA CHADEMA, CCM WASINGETAFUTA MTU KAMA MAGUFULI NA HATA KAMA ANGEPATIKANA KWA MIKAKATI YAO WAO CCM, WANGEMDHIBITI KWA MATAKWA YAO YA KILA SIKU TANGU KIINGIE MADARAKANA. NA HATA SASA TUKIJISAHAU TU, CCM WANARUDI BUSINESS AS USUAL.
"WE DON'T HAVE TO BE OVER COMPLACENCY"
Profesa Maji marefu ataweza kukusaidia ili ndoto hizi ziwe zinakujia usiku. Sasa mchana huu zinakutesa. Ukiishapokea ulua, wahi kwa mtaalamu huyoSiasa za CHADEMA hivi sasa zimebaki bungeni tu, bunge limeisha tumesahaurika, hatusikiki, na wala hamna anayewafuatilia mambo yetu,
Watanzania wote wameamua kushirikiana na rais Magufuli na kuachana na siasa zetu za kikanda.
Hapa makao makuu ni ugomvi kila siku, Mbowe kamnunia Sumaye kwa kutamka hadharani eti magufuli ni Jembe. Lowasa anaanda mapinduzi ya kujipatia uenyekiti, Mnyika kajitenga na shughuli za utendaji, Kubenea ndo kajikabidhi uenezi wa chama.
Yani structure haifuatwi tena. ukibisha pitia hapa ufipa, ofisini pamepwaya. Zogo kubwa ni namna ya kugawana ruzuku, kuna watu wanataka kurudishiwa pesa kwanza walizotoa wakati wa uchaguzi.
MAGUFULI kwa mwendo huu, utatuumiza.
Upinzani umekufaje? Kwa maneno yenu mnataka kutuambia kwamba hata kwenye Serikali ya Magufuli kuna Ufisadi ila kwa kuwa CHADEMA wako kimya, basi huo ufisadi uliomo kwenye serikali ya Magufuli hausemwi. Au?Tulisema magufuli atauwa upinzani.
Maneno yako ni ya ukweli kabisa, kosa lenu la kumbeba mfalme wa mafisadi, ndilo lilosababisha Magufuli achaguliwe, na Chadema ikose umaarufu kwa kujipaka marashi ya kifisadi.
==Risiti==ya malipo ya usafiri wa saratoga?Tatizo CHAGA-DEMA
Hawa shauriki
Hawa kosolewi
Niupumbavu upumbavu
Hawana lingine kabissa
Juzi DJ kaji tutumua
Katoa rist ya mafisadi yake
Watanzania wakampotezea
Kiukweli wanajutia kununuliwa na Fisadi
Mkuu nasikia mwenyekiti amedokezwa kuwa lile jipu la escrow na la UDA, yanakaulia hivyo juzi alienda kujisalimishaNi kweli kabisa mikakati haipangiki ndiyomaana mwenyekiti wa CCM Taifa bwana Kikwete kutwa nzima yuko getini pale Ikulu anamvizia Pombe ampe msaada.
Naona unaongea kinyume nyume,maana cdm ndi kila siku inazidi kuwa maarufu na kwa kudhibitisha hilo ebu pitia uhindi wao wa wabunge na madiwani,tangu cdm inaanzisha hadi sasa inazidi kupanda grafu hakuna mwka ilishuka bali ni kendelea kupnda kwa kuongeza idadi ya madiwani na wabungeManeno yako ni ya ukweli kabisa, kosa lenu la kumbeba mfalme wa mafisadi, ndilo lilosababisha Magufuli achaguliwe, na Chadema ikose umaarufu kwa kujipaka marashi ya kifisadi.
Hayo Makao Makuu uliyopo wewe ni wapi? Labda ya Lumumba maana Hapa nilipo hakuna mtu kama wewe wala sampuli yako hapa tupo tunao jitambua tuumkuu mimi niko hapa makao makuu, hakuna mpango wowote unaoendelea, yani ni upweke na sintofahamu
Huo upinzani unaokufa niwandani ya ccm labda lakini wa nje ya ccm unakua kweli kweliMagufuli anauwa upinzani wetu.
Hawajajua hawa chadema kikifa na ccm inakufaCHADEMA NI CHAMA CHA KUKUMBUKWA SIKU ZOTE HATA KIKIFA KESHO KINA HISTORIA NCHI HII. KIMSINGI CHADEMA NDIO IMEMLETA MAGUFULI NA SIO HIVYO TU HATA KUMFANYA MAGUFULI AFANYE HAYA MACHACHE TUNAYO ONA ANAYAFANYA, MAANA BILA YA PRESSURE YA CHADEMA, CCM WASINGETAFUTA MTU KAMA MAGUFULI NA HATA KAMA ANGEPATIKANA KWA MIKAKATI YAO WAO CCM, WANGEMDHIBITI KWA MATAKWA YAO YA KILA SIKU TANGU KIINGIE MADARAKANA. NA HATA SASA TUKIJISAHAU TU, CCM WANARUDI BUSINESS AS USUAL.
"WE DON'T HAVE TO BE OVER COMPLACENCY"
Teh Teh labda tusikie tarehe ya maandamo japo hayo ruhusiwa na mkikaidi mtatandikwa....Naona Ccm inaangaika kujua tunachokifanya subirini mdaa si Mrefu mtakiona. Asanteni
CHADEMAKWANZA
kama tumepotea wanaweweseka nini mpaka kuzuia mikutano...Huo upinzani unaokufa niwandani ya ccm labda lakini wa nje ya ccm unakua kweli kweli