Ufipa mikakati haipangiki, pamepwaya

Ufipa mikakati haipangiki, pamepwaya

SONGOKA

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2012
Posts
1,836
Reaction score
1,845
Siasa za CHADEMA hivi sasa zimebaki bungeni tu, bunge limeisha tumesahaurika, hatusikiki, na wala hamna anayewafuatilia mambo yetu,

Watanzania wote wameamua kushirikiana na rais Magufuli na kuachana na siasa zetu za kikanda.

Hapa makao makuu ni ugomvi kila siku, Mbowe kamnunia Sumaye kwa kutamka hadharani eti magufuli ni Jembe. Lowasa anaanda mapinduzi ya kujipatia uenyekiti, Mnyika kajitenga na shughuli za utendaji, Kubenea ndo kajikabidhi uenezi wa chama.

Yani structure haifuatwi tena. ukibisha pitia hapa ufipa, ofisini pamepwaya. Zogo kubwa ni namna ya kugawana ruzuku, kuna watu wanataka kurudishiwa pesa kwanza walizotoa wakati wa uchaguzi.

MAGUFULI kwa mwendo huu, utatuumiza.
 
Ujira bana.

Sasa mnachotaka ni nini?
Serikali ifanye kazi inavyotakiwa au iendelee na ufisadi?
Hamuelewi upinzani ulichokuwa unapigia kelele?
Na bado kelele zitapigwa sana
 
Naona Ccm inaangaika kujua tunachokifanya subirini mdaa si Mrefu mtakiona. Asanteni

CHADEMAKWANZA
mkuu mimi niko hapa makao makuu, hakuna mpango wowote unaoendelea, yani ni upweke na sintofahamu
 
Daah kijana bado unakubali kutumika kwa watu flan ndipo upate posho ya kuendesha maisha yako
hali si shwali makamanda tujipange kuokoa jahazi, yani leo nimeamua kuingia ufipa saa sita, sababu sababu ya kuwahi sina tena. Mwenyekiti mwenyewe haonekani
 
Siasa za CHADEMA hivi sasa zimebaki bungeni tu, bunge limeisha tumesahaurika, hatusikiki, na wala hamna anayewafuatilia mambo yetu,

Watanzania wote wameamua kushirikiana na rais Magufuli na kuachana na siasa zetu za kikanda.

Hapa makao makuu ni ugomvi kila siku, Mbowe kamnunia Sumaye kwa kutamka hadharani eti magufuli ni Jembe. Lowasa anaanda mapinduzi ya kujipatia uenyekiti, Mnyika kajitenga na shughuli za utendaji, Kubenea ndo kajikabidhi uenezi wa chama.

Yani structure haifuatwi tena. ukibisha pitia hapa ufipa, ofisini pamepwaya. Zogo kubwa ni namna ya kugawana ruzuku, kuna watu wanataka kurudishiwa pesa kwanza walizotoa wakati wa uchaguzi.

MAGUFULI kwa mwendo huu, utatuumiza.
Na bado,endeleeni kutia maji manake kunyolewa ni lazima.
 
Ujira bana.

Sasa mnachotaka ni nini?
Serikali ifanye kazi inavyotakiwa au iendelee na ufisadi?
Hamuelewi upinzani ulichokuwa unapigia kelele?
Na bado kelele zitapigwa sana
Iendelee na mafisadi yapi
wakati kiongozi wa mafisadi mnae huko
 
Juzi nilikua naongea nakiongozi , nilimfikishia yale malalamiko yetu ya kua 7000/= haitoshi angalau 12,000/= alichonijibu nilichoka!! Ila mwisho wa siku tukakubaliana kua anaetaka zaidi ya buku 7 basi awahi ofisini apost thread Moja then anakunywa chai ya ofisi., vijana Wengi walipinga nashangaa wewe kuamua kuunga mkono wazo la kiongozi.. Ujue tukigawanyika ktk hili tutaendelea kupewa 7000/= mpaka 2020 wakati wa kampeni Ndio wataona umuhimu wetu. Cha msingi Mkuu achana na hiyo chai Yao! Watatubuluza mpaka lini wakati wao wanapiga mkwanja mrefu???
 
Naona mmeleta huu wa propoganda ,ili mfiche ule wenu wa kutafuna pesa zenu kule lumumba ..UVCCM noma
 
Siasa za CHADEMA hivi sasa zimebaki bungeni tu, bunge limeisha tumesahaurika, hatusikiki, na wala hamna anayewafuatilia mambo yetu,

Watanzania wote wameamua kushirikiana na rais Magufuli na kuachana na siasa zetu za kikanda.

Hapa makao makuu ni ugomvi kila siku, Mbowe kamnunia Sumaye kwa kutamka hadharani eti magufuli ni Jembe. Lowasa anaanda mapinduzi ya kujipatia uenyekiti, Mnyika kajitenga na shughuli za utendaji, Kubenea ndo kajikabidhi uenezi wa chama.

Yani structure haifuatwi tena. ukibisha pitia hapa ufipa, ofisini pamepwaya. Zogo kubwa ni namna ya kugawana ruzuku, kuna watu wanataka kurudishiwa pesa kwanza walizotoa wakati wa uchaguzi.

MAGUFULI kwa mwendo huu, utatuumiza.
USHAURI:Mkitaka mambo yenu yaende vizuri mwambieni Kingunge akafute maneno yake kwamba CCM imekata pumzi. Atumie vyombo vya habari vile vile na mahali pale pale,vinginevyo mtaendelea kukata pumzi hivyo hivyo kwa laana hiyo hiyo.
 
Naona Ccm inaangaika kujua tunachokifanya subirini mdaa si Mrefu mtakiona. Asanteni

CHADEMAKWANZA
Mkuu jambo la msingi na la kushukuru tu ni kwamba ccm wanakili kuwa chama cha upinzani ni cdm
 
Ujira upi!!
Lowassa tulimsema akiwa Ccm
na tutamsema popote aendapo
Maana Ana laana ya Wizi huyo
Piga kazi Mzee wa 46.

Kwahiyo mlimsemaaaa mpaka akahama Chama.
Daaaah! Yaani mlimkomesha haswa.

MLIMSEMA.
 
Poleni. Siasa ni shule si disco. Bado kidigo vumbi litatulia ruzuku ikikolea

Back
Top Bottom