Ufaransa yaahidi kushirikiana na Magufuli

Kunawatu hawapendi kusikia haya. Nasubiri wasome afu watukane.. mara oo wafaransa sio watu azuri.. n.k.
 
Magufuli aahidi kushirikiana na CHADEMA kuijenga TANZANIA yenye Demokrasia.
 
habari njema kwa nchi yetu, Tanzania mbele daima mengine nyuma. viva Tanzania, viva H.E dr. Magufuli
 
Mmmh hakuna watu wajinga zaidi ya Wadanganyika,.. Ufaransa haikuahidi kushirikiana na Magufuli kama Raisi wa Tanzania bali kama Mwenyekiti wa Sadc..
 
Hivi magufuli amwkuwa lini mwenyekiti wa jumuhia ya maendeleo kusini mwa africa. Alfu ndyo naiskia leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…