Sidhani kama tatizo ni wakimbizi. Tatizo ni masuala ya Sera za pamoja zinaiumiza zaidi uingereza.ukitafakari zaidi utagundua waingereza hawanufaiki na umoja wa ulaya kama raiaa wengine wa ulaya wanavyofaidika na UK hasa Hawa wanaotoka mataifa ya Balkans east EuropeNa ndiyo maana wamejitowa, maana wameona migrants wamezidi,sababu kubwa ya kujitoa ni chuki zao kwa wahamiaji.maana sasa wataweza kukontrol boader zao bila shinikizo la EU
Migrants kutoka eastern europe, na issue ya kugawana wakimbizi kwa shinikizo la Brussels ndo major factor ilowafanya waingereza wa vote OUT from EUSidhani kama tatizo ni wakimbizi. Tatizo ni masuala ya Sera za pamoja zinaiumiza zaidi uingereza.ukitafakari zaidi utagundua waingereza hawanufaiki na umoja wa ulaya kama raiaa wengine wa ulaya wanavyofaidika na UK hasa Hawa wanaotoka mataifa ya Balkans east Europe
Uingereza insongoza kupokea wakimbizi kivipi mkuu??? Maana Mimi katika kifuatilia kwangu kidogo...naona kama ujerumani ndio waliopokea/wanaopokea wakimbizi wengi...au nieleweshe zaidi mkuu wangu!!!Kama hujuwi kitu ni bora ukanyamaza.hivi unafahamu uingereza ndio nchi inayoongoza ulaya kwa kupokea wakimbizi?
Kama hujuwi kitu ni bora ukanyamaza.hivi unafahamu uingereza ndio nchi inayoongoza ulaya kwa kupokea wakimbizi?
Ujerumani wameanza kupokea miaka si chini ya miwili baada ya machafuko middle east.lakini UK ameanza kupokea wakimbizi zaidi ya miaka 30 ilopita wengi toka India, Pakistan na Africa.Uingereza insongoza kupokea wakimbizi kivipi mkuu??? Maana Mimi katika kifuatilia kwangu kidogo...naona kama ujerumani ndio waliopokea/wanaopokea wakimbizi wengi...au nieleweshe zaidi mkuu wangu!!!
Ninachokiona hapa ni kuundwa kwa Coalition of the willing ndani ya Ulaya.
Kuna nchi kama Norway na Uingereza na Mfaransa zitaungana na kuunda umoja wao.
Germany atabaki na kina Ugiriki na Uturuki yake.
Ujerumani wameanza kupokea miaka si chini ya miwili baada ya machafuko middle east.lakini UK ameanza kupokea wakimbizi zaidi ya miaka 30 ilopita wengi toka India, Pakistan na Africa.
Imeripotiwa na radio DW mchana huu.Je ni nini impact ya msambaratiko huu wa eu kwa Tanzania
Oooh sawa mkuu...nimekupata vizuri.Ujerumani wameanza kupokea miaka si chini ya miwili baada ya machafuko middle east.lakini UK ameanza kupokea wakimbizi zaidi ya miaka 30 ilopita wengi toka India, Pakistan na Africa.
Ianze hii EA. Tupige kura tena, nahisi km sasa majibu yanaweza kuwa tofautiImeripotiwa na radio DW mchana huu.Je ni nini impact ya msambaratiko huu wa eu kwa Tanzania
uingereza ni jimbo la marekani, hivyo marekani
kaamua kulitoa jimbo lake EU
Hayo ni mawazo mafu.
huwez fahamu haya sabab US na UK unazisikiaga kwa radio tu
Hongera wewe unayezisikia na kuziona kwa TV na Google map.
mbaya zaidi nchi za east europe zitapoteza imani kwa Eu na matajiri wa magharibi. mfano machafuko ya Ukraine chanzo chake ni wananchi kutaka ushirikiano na EU huku rais akiegemea Urusi. sasa watu wanavyojitoa wananchi wengi wa east europe wataanza kufikiria marambilimbili kuhusu ushirikiano wao na EU na nchi za magharibi. wataona bora zimwi likujualo (Russia).Hello Tzar Ivan the terrible are you there? Kumbe you don't need a 500 Megatone Bomb kuwatia akili baadhi ya viongozi wa Continental Europe wanao buruzwa ovyo na Uncle SAM kufanya mazoezi ya kivita wakiwazuga kwamba Russians are coming - madai ambayo hayana ukweli wowote zaidi ya kutafuta kisingizio cha kufuja tax payers' money badala ya kufanya biashara na China, Urusi, Thailand, India na Iran EU wanapoteza muda chasing shadows.
Juzi hapa train kutoka China iliwasili Warsaw Poland imesheeni ma container! Ndiyo hivyo tena silk road is no longer a pipe dream ina take shape faster than you think, shinikizo la Uncle SAM la kutaka ku undermine silk road limeshindikana, kibaya zaidi kuondoka kwa Uingereza kwenye Ushirika wa Ulaya umeshitua sana Obama's Administration wanajua njama zao za kutaka kuwawekea a monkey wrentch Wachina na Warusi wasishirikiane kibiashara na wenzao wa Ulaya linaelekea kishidwa vibaya sana.
Wakumbuke kwamba bara la Ulaya si backyard ya Mayankee, Eurasian countries zitashirikiana kiuchumi na kibiashara kwa manufaa ya raia wake bila ya kujali Amerika inasema nini/maoni gani.
Kabisa. Na hawa wa Ulaya mashariki kwa maana ya Ukraine, Romania na vinchi vingine maskini vya Ulaya mashariki ndivýo hasa vimefaidika sana na muungano huu, kwa mfano manual laborers wengi wa Ulaya kama kufagia, kusanbaza magazeti na nyingine za mguno huo zinafanywa na watu wengi wa mataifa hayo. Kuondoka kwa UK ni pigo sana kwa hizo nchi.mbaya zaidi nchi za east europe zitapoteza imani kwa Eu na matajiri wa magharibi. mfano machafuko ya Ukraine chanzo chake ni wananchi kutaka ushirikiano na EU huku rais akiegemea Urusi. sasa watu wanavyojitoa wananchi wengi wa east europe wataanza kufikiria marambilimbili kuhusu ushirikiano wao na EU na nchi za magharibi. wataona bora zimwi likujualo (Russia).
Ukifanya tofauti na matokeo ya sasa utakuwa umetoka ndani ya demokrasia na iyo ndio tatizo kubwa.inamaana ukitaka muungano uendelee kuwepo wakati wananchi awataki itakuwa umepuuza matakwa ya wananchiKitu kinachoanza kujitokeza ata huko uingereza baada ya kuamua hakuna upande uliokuwa umejipanga pande zote mbili azijui what next wanajitoa vipi, wana negotiate nini na EU maana sio kwamba walikuwa awafaidiki, apparently kuendelea kushirikiana kiuchumi akuondoi tatizo la msingi kwenye free movement of people (swala sio wakimbizi wala, african migrants who can be controlled; issue ni uraia wa EU).
Matokeo yake vyama vikuu vya siasa vimevurugika labour wana mpango wa kulazimisha kiongozi wao atoke kwa nguvu wanamlaumu kwa campaign hafifu iliyosababisha wanachama wao kutopiga kura ya inn. Conservative nao awajielewi hao brexit kumbe awana plan yoyote ya jinsi ushirikiano muhimu utakavyo fanya kazi kwenye ku negotiate na EU, waziri mkuu ataki kuitisha mchakato rasmi wa kupeleka maombi ya kujitoa ambapo inabidi awataarifu EU UK inataka ku-excercie 'article 50 of lisbon treaty' ndio procedure rasmi zianze. David Cameron anataka hayo mambo yafanywe na waziri mkuu ajaye, kama atokuwa kutoka Brexit side of the campaign chama bado kitakuwa na mzozo mwingine especially way forward with EU.
Its chaos kuna baadhi ya wabunge washaanza kudai referendum is not legal binding sio lazima wajitoe, kwasasa kutokana na mazingira ya kwamba ndio kwanza watu wameamua hili swala linawekwa kapuni. Lakini upepo ukitulia wanataka bunge ndio liamue sio kura ya maoni hiko ni kinyume na demokrasi, hili swala apparently bado linahitaji mjadala mrefu sana bungeni alikadhalika EU nao wanataka hii shughuli iishe waendelee.
Nadhani nchi zingine watatumia mazingira ya UK kama case study before following suit its a complicated divorce apparently the marriage wasnt all bad rather some aspects were annoying to those filing for devorce.