Ufaransa: Majengo na mabasi yachomwa baada ya kijana mweusi kuuawa na polisi

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,044
49,728
Mtu mweusi hajawahi kuwa mstaarabu ,ana matumizi madogo ya akili ila Nguvu nyingi hata ambapo hapastahili..

Ufaransa alijifanya mkarimu na Mjanja kukaribisha hii ngozi Sasa ngoja ale hasara harafu ndio ataelewa Kwa nini Nchi Zingine haziwataki Watu Weusi..
===
Vurugu zimeendelea kushuhudiwa katika Miji mbalimbali nchini Ufaransa baada ya mkasa wa Kijana wa miaka 17 kuuawa kwa kupigwa risasi na Polisi wiki hii katika kitongoji cha Nanterre, nje kidogo ya Mji wa Paris.

@dw_kiswahili imeripoti kuwa maelfu ya Waandamanaji wenye hasira wamechoma moto majengo kadhaa na kupambana na Maafisa wa usalama ili kulaani kisa hicho, jumla ya Watu 667 wamekamatwa kote nchini Ufaransa, Maafisa wa polisi wapatao 294 wamejeruhiwa kufuatia vurugu hizo.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Ufarasa Gérald Darmanin amesema Serikali imetawanya Maafisa 40,000 wa Polisi nchi nzima ili kujaribu kutuliza vurugu za maelfu ya Watu wanaodai haki ya mvulana aliyewaua.

Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron na Waziri Mkuu Elisabeth Borne, wameitisha mkutano wa dharura ili kujadili vurugu hizo ambazo zimeripotiwa katika Miji mbalimbali ukiwemo Mji Mkuu Paris, Marseille, Lille, Lyon, Bordeaux na Grenoble na pia katika Mji Mkuu wa Ubelgiji, Brussels.
 
Mtu mweusi hajawahi kuwa mstaarabu ,ana matumizi madogo ya akili ila Nguvu nyingi hata ambapo hapastahili..

Ufaransa alijifanya mkarimu na Mjanja kukaribisha hii ngozi Sasa ngoja ale hasara harafu ndio ataelewa Kwa nini Nchi Zingine haziwataki Watu Weusi..

Waafrika haohao wamewapa World Cup 2018 na kuwaingiza fainali 2022.
MBAPPE, Kante, Camavinga, Matuidi, Nzozi na n.k ni wengi na Pogba
 
Mtu mweusi hajawahi kuwa mstaarabu ,ana matumizi madogo ya akili ila Nguvu nyingi hata ambapo hapastahili..

Ufaransa alijifanya mkarimu na Mjanja kukaribisha hii ngozi Sasa ngoja ale hasara harafu ndio ataelewa Kwa nini Nchi Zingine haziwataki Watu Weusi..

We punguani mtu mweusi ambae ni hasara tolea mfano wa baba yako na mama yako. Hao unaowaita nguruwe fanya ndio ndugu zako. Wengine tuna kipimo cha juu sana cha utu na ubinadamu
 
Vitu ambavyo havihitaji akili ndio mtu mweusi anaweza
Yaani mpira hauhitaji akili?
Ushawahi kuona mbuzi akicheza Soka au ng'ombe?
Unajua MBAPPE ana IQ kubwa kuliko hata wasomi wa nchi nyingi duniani? Fatilia.
Yaani watu wanajiposition vizuri, wanakaba unasema hawatumii akili.

Je mzungu anayeunga mkono ushoga ndo akili?
Ina maana Lionel Messi hana akili?
 
Kuna akili gani hapo?
 
Kuna akili gani hapo?
Ipo mkuu zile movements zote zinahitaji akili. Mpira sio rahisi hasahasa ya Ulaya, mbona Samatta alishindwa EPL?
Ila Ngolo Kante aliweza? Antony Martial aliweza? Pogba alikichafua msimu wake wa kwanza?
Akili inatumika kote , tatizo mnaclassify akili na kuwa na G.P.A ya 4.5 au kuwa professor ila hata mkulima tu anaweza kuwa na akili kama anapanga mipango na kuwa na NIDHAMU basi.

Akili ni kuweza kutengeneza au kuunda mipango na kuifanya Kwa NIDHAMU tu, Gerald Pique ana IQ ya 170+ kubwa kuliko ya Einstein ila aliamua aspecialize kwenye mpira na akafanikiwa akiwa na Barcelona na Manchester United.

Ndo maana Kuna "Football genius" pia, namaanisha Lionel Messi.

Anyway Kila fani hapa duniani lazima utumie akili na sio kipaji tu, hata muziki wanaofanikiwa sio juhudi tu, ni akili hapo ndo utaona tofauti ya Diamond na Harmonize.

Ila pia ukija kwenye upande wa taaluma pale ufaransa wapo weusi ambao pia ni wabunge wa nchi ya Ufaransa na wazungu wamewachagua kwa kuwa Wana elimu na pia akili.
 
Mtu mweusi hajawahi kuwa mstaarabu ,ana matumizi madogo ya akili ila Nguvu nyingi hata ambapo hapastahili..

Ufaransa alijifanya mkarimu na Mjanja kukaribisha hii ngozi Sasa ngoja ale hasara harafu ndio ataelewa Kwa nini Nchi Zingine haziwataki Watu Weusi..

Mi nikiona tuu mikataba ya hovyo ya bandari alaf na wewe unatetea kisa commission , najikuta nasemea Sisi ngozi nyeusi tulilaaniwa Kwa kunyimwa akili..Yani tupo kama nyumbu ,
 
Back
Top Bottom