Naomben masada wenu wa mawazo
Nimeachika ninawiki sasa ninawatoto 2 mmoja ana 7yrs na mwingine ana miez 8 sasa. Naomben masada wa mawazo nifanye nini kwa sasa ili nijikimu kimaisha?
Nina nurse mwaka mmoja na ADDO kwa ajiri ya kutoa dawa (kuuza duka la dawa). Nilikua nadukaa la dawa nimemuachia jamaa sababu alinifungulia yeye
Mkononi nina mil. 2. Nina lain za uwakala zote. Mtoto wangu wa 7yrs na binti wa kazi nina mpango wa kuwaacha kwa mama kwanza mpaka nijipange mimi nihangaike na huyu mdogo mgongoni
Nampango huyu 7yrs nimrudishe shule ya kawaida maana alikua eng. medium darasa la 3, sasa arudi kawaida sijui itafaa?
Naombeni mawazo yenu nifanyeje kwa sasa. Akili haipo sawa jamaa kaninyima vitu vyangu niliolewa na vitu vya ndani karibia vyote amevikataalia mpaka kitanda.