Ufanye nini baada ya kupoteza kazi?

Ufanye nini baada ya kupoteza kazi?

kyusa guy

Member
Joined
Oct 16, 2023
Posts
26
Reaction score
71
Safi Safi kila mwana JF,

Naomba niende straight kwenye swali langu. Ni hatua na njia gan muhimu zakuzingatia pale inapotokea ulkuwa na kazi baada ya muda na changamoto za hapa na pale ukasimamishwa kazi nakuwa Jobless.

Naomba mawazo yenu na experience yenu Kati ili kipi cha kuzingatia hasa mtu unapokuwa na mwanamke unaish nae na pia watoto.

Nawasilisha kwenu wananzengo, Asanteni
 
Tegemeza fikra zako kwamba kuachishwa kazi ni mwanzo wa mafanikio, ila natumain sio kwa ajili ya uzembe au wizi!

Je una mke na watoto?
 
Kuwa makini kama utakuwa umesave akiba yako basi usije kukurupuka maana kila mtu atakushauri fanya hichi au kile mwisho usijejikuta unapoteza kila kitu.
Kikubwa zaid kuwa na subira maana kipindi hicho ndo utajua rangi halisi za wanaokuzunguka ndugu, jamaa na marafiki hivyo usife moyo mlango mmoja ukifunga basi mwingine hufunguka.
Mwenyez Mungu akufanyie wepesi.
 
Safi Safi kila mwana JF,

Naomba niende straight kwenye swali langu. Ni hatua na njia gan muhimu zakuzingatia pale inapotokea ulkuwa na kazi baada ya muda na changamoto za hapa na pale ukasimamishwa kazi nakuwa Jobless.

Naomba mawazo yenu na experience yenu Kati ili kipi cha kuzingatia hasa mtu unapokuwa na mwanamke unaish nae na pia watoto.

Nawasilisha kwenu wananzengo, Asanteni
Mkuu hili swali huwa tunajiuliza siku ya kuanza kazi.....
Kazi ni mbegu na mshahara ni mbegu pia.
Muhimu usile mbegu....wekeza
 
Safi Safi kila mwana JF,

Naomba niende straight kwenye swali langu. Ni hatua na njia gan muhimu zakuzingatia pale inapotokea ulkuwa na kazi baada ya muda na changamoto za hapa na pale ukasimamishwa kazi nakuwa Jobless.

Naomba mawazo yenu na experience yenu Kati ili kipi cha kuzingatia hasa mtu unapokuwa na mwanamke unaish nae na pia watoto.

Nawasilisha kwenu wananzengo, Asanteni
Tengeneza kazi.
 
mimi nilifukuzwa kazi... nikanunua pikipiki nikajiunga na Taxi mtandao hivi sasa natengeneza kipato mara 3 ya kile nilichokuwa nalipwa kwa mwezi.

nafanya kazi muda ninao jisikia, sisimamiwi na mtu. hapa ndipo nilipo gundua kuwa ajira ilikuwa inani dumaza. na ajira za Tanzania zimetofautiana sentimita chache sana na utumwa.

kama una NSSF pakuanzia unapo Tuliza akili...kufukuzwa kazi sio mwisho wa maisha.​
 
Jua lako, mvua Yako na vidharau kutoka Kwa wife wako.

Tegemeza fikra zako kwamba kuachishwa kazi ni mwanzo wa mafanikio, ila natumain sio wka ajili ya uzembe au wizi!

Je una mka na watoto?
Asnte bro Nina mke na mtoto mmoja na tumepanga ila mwana mama nae Ana ajira Lakin sijiskii na aman kbsa
 
Kuwa makini kama utakuwa umesave akiba yako basi usije kukurupuka maana kila mtu atakushauri fanya hichi au kile mwisho usijejikuta unapoteza kila kitu.
Kikubwa zaid kuwa na subira maana kipindi hicho ndo utajua rangi halisi za wanaokuzunguka ndugu, jamaa na marafiki hivyo usife moyo mlango mmoja ukifunga basi mwingine hufunguka.
Mwenyez Mungu akufanyie wepesi.
Asnte sana mkuu kwa madini,
Ila nashukuru Mungu zaiid Nina fani ya Welding na metal fabrication ambayo kwa mtaani uwezi kOsa chochote na amin kwa madin yenu na uwezo wangu wa kuchanganua Mungu ataniongoza vyema niweze angalau kutengeneza njia nyingine ya kupambana na kupata chchote kitu, maana rangi nimeanza ziona kw ndugu na rafiki mke wangu bdo lbd kma ananivutia muda.
 
Back
Top Bottom