Mkuu Dar ni mkoa wa ajabu sana, biashara nzuri hapa ni za uongo na utapeli kama unaziweza. Si kama hizo zingine hazina soko bali hizo ninazokuambia soko lake ni kubwa Mfano. Unaweza kubuni dawa ya uongo ya kutibu jino bila kung'oa, dawa ya kuongeza nanihiiii, pia dawa ya heshima kwenye ndoa. Pia ukiwa mbunifu zaidi unaweza kubuni hata mbinu ya kunywa damu za wanyama (Hatari kweli), binafsi dawa ya kuongeza nguvu za kiume imenitoa sana lakini ilikuwa ya ukweli niliomba kwa mzee wangu kijijini. Kwa sasa nimeacha kama unataka unaweza kuendeleza zinauzika sana hapa Dar.