Ufahamu mmea unaokula nyama

Ufahamu mmea unaokula nyama

Asee we dhehebu gani mmh..?


Wapi Mungu aliruhusu ulaji wa nyama mpaka unatamka hilo neno?.
Ulaji wa nyama ni kutokana na uroho wa mwanadamu tu...


Quran 2:168
Enyi watu! Kuleni vilivyomo katika ardhi, halali na vizuri, wala msifuate nyayo za Shet'ani. Hakika yeye ni adui yenu aliye dhaahiri

Quran 2:173


Yeye amekuharimishieni mzoga tu na damu na nyama ya nguruwe na kilicho tajiwa, katika kuchinjwa kwake, jina la asiye kuwa Mwenyezi Mungu. Lakini aliye fikiwa na dharura bila ya kutamani wala kupita kiasi, yeye hana dhambi. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu
 
Back
Top Bottom